Mpeho MediaTz @mpehomedia
Joined February 2024-
Tweets36
-
Followers37
-
Following312
-
Likes35
TSH TRIL 1.8 ZAENDA ARUSHA Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt @SuluhuSamia kipindi cha miaka mitatu (2021-2024) imetoa kiasi cha shilingi (trilioni 1.8) kwa ajili ya kufanikisha utekelezaji miradi ya maendeleo katika Mkoa wa Arusha. #Bimkubwakazini
MIRADI MITATU YA MAJI YAFADHILIWA NA PWC Shirika la lisilo la kiserikali la Pastrol Womens Council (PWC) limekamilisha ujenzi wa miradi ya maji mitatu ya maji katika kitongoji cha Eserosopia kijiji cha Ololosokwan,Engorpasei kijiji cha Oloipiri na Elua kijiji cha Mondorosi
KITONGOJI CHA LOOSOITO -NGORONGORO TUMEWASHA💡🔌🔌 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umekusudia kuanzia mwaka 2024 kufikisha miundombinu ya umeme hadi kwenye vitongoji baada ya kukamilisha utekelezwaji wa mradi wa kuunganisha huduma hiyo kwenye vijiji vyote nchini.
Leo tarehe 02/04/2024 mkandarasi Urban and Rural (U&R) anaunganisha vijiji 3 ili wananchi waanze kupata huduma ya umeme vijiji hivyo ni Madukani,Orkiu juu na Orkiu chini,hivyo basi wananchi wameaswa kuomba umeme katika Mfumo wa Tanesco unoitwa #Nikonekt ili kuunganishiwa umeme
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.Kabla ya uteuzi huu Makonda alikuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na anachukua nafasi ya John V.Mongella ambaye atapangiwa kazi nyingine
Mbunge wa Simanjiro, Christopher Olesendeka ameshambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana leo jioni,Inasemekana Ole-Sendeka alipokea taarifa kuwa kuna gari lilikuwa likimfuata karibu na makutano ya Ng'abolok na Irkiushin, kisha watu hao walilipita gari lake na kufyatua risasi.
🚩🚩🚩🚩 *NOTICE* *Kama Ulinunua Kiwanja na Ukalipia Nusu eneo la Mkabala na Ofisi ya DC,nakukumbusha tu kuwa Kesho kutwa Tarehe 29.Machi 2024 ndo Mkataba wa Siku 90 unaisha* _Lipia sasa ,utanishukuru Baadae_!!!!!!!! *TAUSI HANA MCHEZO* 😀😀😀😀😀😀😀
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Loliondo imepewa tuzo ya mshindi wa tatu kati ya Mamlaka za Majisafi na usafi wa Mazingira 48 za miji midogo zenye wateja chini ya 5000, tuzo hizo zimetolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati ya Umeme na Maji Tanzania (EWURA)
MAELEKEZO YA DC SAKULO YATEKELEZWA, DC -Ngorongoro Mhe. Wilson Sakulo alitoa maelekezo mkutano wa hadhara kuwa mnada wa Ijumaa tarehe 15.03.2024 ufanyike eneo lilipohamishiwa vibanda. Aidha agizo hilo limetekelezwa na huduma za Muhimu kama maji,choo na Umeme zinapatikana
MNADA WA IJUMAA WASSO KUHAMA Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe Wilson Sakulo ametangaza kuwa eneo vilipo hamishiwa vibanda katika eneo la Mji mdogo wa Loliondo ndio soko la mnada wa Siku ya Ijumaa la kila wiki na utaanza tarehe 15.03.2024
Ikiwa ni siku ya Wanawake Dunia tarehe 8 Machi 2023,ASP Fatuma Juma Mkuu wa Kituo cha Polisi Loliondo ameongoza askari kutembelea wagonjwa katika hospitali ya WASSO na kuwapatia mahitaji mbalimbali ikiwa ni sehemu yao ya mchango kwa jamii na kusherekea nao Siku ya Wanawake.
Royce Colflesh @ColflesRoyc
20 Followers 3K FollowingShu Avarbuch @avarbuch29068
65 Followers 5K FollowingKimberely Sernas @KimberelyS82853
82 Followers 5K FollowingBridget Mizner @mizn_bridg
85 Followers 5K FollowingBrodie Buco @BrodieBuco47768
74 Followers 5K FollowingRose Tanzosch @ros_tanzo
28 Followers 5K FollowingYara Batterman @YBatterman84655
55 Followers 5K FollowingElvie Pelikan @ElviePelik
50 Followers 5K FollowingSabore Ngarus Laizer @SaboreNgarus
204 Followers 340 Following Fanya kazi kama mtumwa ili baadaye uishi kama MfaumeRenda Imrie @ImrieRe
51 Followers 5K FollowingNguyet Docken @DocNguy
47 Followers 5K FollowingJAFARI R. KISUDA @kisuda2013
13 Followers 92 Followingnaziru @NandondeNaziru
213 Followers 2K FollowingKathleen Flynn @Kathleeeethy
2K Followers 3K FollowingKalison Kareba @kalison_kareba
35 Followers 772 FollowingZara Solton @ZaSolto
57 Followers 5K FollowingLaurene Mckamey @l_mckame
64 Followers 5K FollowingBUSHMAN @LMepukory25653
159 Followers 727 FollowingKimberley Bayala @BayalaKimb9264
79 Followers 5K FollowingJena Zaker @jena_za
58 Followers 5K FollowingErika Loew @loew_erika27277
35 Followers 5K FollowingLilith Deblieck @DebliLil
82 Followers 5K FollowingSally Lott @SallyLott193611
68 Followers 3K FollowingAurora Shekarchi @ShekarcAuror
80 Followers 5K FollowingKiera Holland @HollaKie
68 Followers 5K FollowingRogatus Masanja @MasanjaRogatus
33 Followers 341 FollowingOLOMY @olomy13
2K Followers 5K Following Marketing Director (MD) @bolti_group Graphics Designer @udomhealthclub For Inquiry: +255627448123Ally Mohamed @totibeez
1 Followers 70 FollowingDay Sparkle Consultan.. @daysparkle_cons
44 Followers 414 Following Advancing Careers | Empowering Businesses 🚀🌐 We specialize in HR, Management, Marketing, IT, and Real Estate Consulting Expertise 📊💼Sabore Ngarus Laizer @SaboreNgarus
204 Followers 340 Following Fanya kazi kama mtumwa ili baadaye uishi kama MfaumeRenda Imrie @ImrieRe
51 Followers 5K FollowingTaTEDO SESO @TaTEDOtz
463 Followers 99 Following The leading and most successful Sustainable Energy services Organisation in Tanzaniabongo5.com @bongofive
461K Followers 2K Following East Africa's most read Entertainment website. 10+ years delivering the best news in the best ways possible.Branding Tanzania �.. @tzbranding
16K Followers 3K Following A lifetime initiative established with a purpose to profile positive legacy & create compelling brand image on all aspects of 🇹🇿. #ProudlyTanzanianTanzania High Commiss.. @TZEmbassyUK
6K Followers 251 Following The Official X Account of the High Commission of the United Republic of Tanzania to the United KingdomUS Embassy Tanzania @usembassytz
304K Followers 398 Following The U.S. partners with Tanzanians to build & sustain a healthier, more prosperous & secure nation. Terms of Use: https://t.co/Uu61GHxLCj. #UbaloziniLeoVodacom Tanzania @VodacomTanzania
359K Followers 38 Following Teknolojia ni watu na watu ni teknolojia. Kwa kutumia teknolojia, kwa pamoja tunaweza kufanya lolote. #PamojaTunawezaMrisho Mpoto @MrishoMpoto
24K Followers 441 Following Official Account of the Africa's Number 1 Slam Poet. A StorytellerMinistry of Finance T.. @mofURT
13K Followers 97 Following The Ministry of Finance is a Central Ministry responsible for public Finance and Economic Management. #mofURT #HazinaYetuTogolani Mavura @tonytogolani
256K Followers 2K Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake! To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own DestinyAngellah Kairuki @AngellahKairuki
52K Followers 4K Following Minister of Natural Resources and Tourism-TANZANIAVictoria Kwakwa @VictoriaKwakwa
8K Followers 370 Following @WorldBank Vice President for Eastern and Southern Africa, Economist, Mother of 3. Passionate about Africa's development and helping Africans thrive!ESRF @ESRFTZ
11K Followers 3K Following An independent not for profit research institution conducting policy enhancing research. Research|Capacity Development|Knowledge Management Be Informed !!Tanzania Embassy in E.. @Tanzaniainaddis
2K Followers 186 Following Official account of the Tanzania Embassy to Ethiopia also accredited to Djibouti, Yemen, the African Union and the United Nations Economic Commission for AfricaUhondo TV @UhondoTV
1K Followers 245 Following News | Sports | Entertaiment | Education | For Advertising Contact us: 📲 +255625662364Rashda Zunde @RashdaZunde
6K Followers 914 Following |Proudly Tanzanian| | God Fearing😊| God's last born| Yanga 💚💛| Mama Asif😊#NIPENI_MAUA_YANGU�.. @Roma_Mkatoliki
1.1M Followers 149 Following Rapper/Songwriter/Best Hip Hop Artist 2012 and Best Hip Hop Song(MATHEMATICS)2012, ACTIVIST🎤Serikalikazini @serikalikazini
6K Followers 124 Following Kazi inaendelea Tazama miradi ya maendeleo NchiniOfisi Ya Mbunge Ngoro.. @OfisiMbunge
897 Followers 704 Following Ukurasa Rasmi wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la NgorongoroLaurene Mckamey @l_mckame
64 Followers 5K FollowingZara Solton @ZaSolto
57 Followers 5K FollowingKalison Kareba @kalison_kareba
35 Followers 772 FollowingJAFARI R. KISUDA @kisuda2013
13 Followers 92 Followingnaziru @NandondeNaziru
213 Followers 2K FollowingTransparencIT @TransparencITng
16K Followers 2K Following A civic tech organization fostering courtroom openness, social justice and citizen engagement in Nigeria. #SDG16Maelezo News @maelezonews
27K Followers 34 Following Ukurasa rasmi wa Serikali ya Tanzania kupitia Idara ya Habari -MAELEZO utakaokupatia habari za kila siku 🗓 /https://t.co/gRXoQiOE5E 🔗TanzaniaSpokesperson @TZSpokesperson
7K Followers 31 Following Official English Account of the Chief Spokesperson of the Government of the United Rep. of Tanzania. Direct tweets by the Spokesperson will be marked: Dr. H.A.Mzawa Blog Tz @mzawablog
103K Followers 4K Following | Ukurasa rasmi wa X wa Mzawa Online | The Official X account of Mzawa Online | #NewsWithUs🌍 | #SisiNaHabari | Time: 24hrs🎙️Paul Makonda @MakondaPaul
634 Followers 57 FollowingMh.Paul Makonda @HelpmeMakonda
25 Followers 4 Following Paul Makonda help us🙏 we need your help pleaseSuphian Juma Nkuwi @SuphianJuma
156K Followers 20 Following 🌑University of Dar es Salaam Alumnus 🌑Media Expert 🌑Mgombea Ubunge Singida Magharibi 2020. MWANZILISHI- SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANACoCo🍫💦 @YourFrenchFry
195K Followers 2K Following Mom-In-Chief! 🫡 | I have a strategic plan. It’s called DOING THINGS. 😎JKT Tanzania @JKT_Tanzania
202K Followers 2K Following Official Account of JKT Tanzania in @X Mabingwa Championship 2022/2023 🇹🇿Ally Salum Hapi @AllyHapi
45K Followers 272 Following Katibu Mkuu Jumuiya Wazazi CCM Tanzania (MNEC). Mkulima 🇹🇿Shaffih Dauda @shaffihdauda1
893K Followers 923 Following Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my ownFalsafa Baba! @MwanaFA
775K Followers 452 Following MC with an MSc | Family Man | Rapper | A Business-MAN | Member of Parliament - Muheza Constituency | Deputy Minister - Culture, Arts & Sports |TSH TRIL 1.8 ZAENDA ARUSHA Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt @SuluhuSamia kipindi cha miaka mitatu (2021-2024) imetoa kiasi cha shilingi (trilioni 1.8) kwa ajili ya kufanikisha utekelezaji miradi ya maendeleo katika Mkoa wa Arusha. #Bimkubwakazini
MIRADI MITATU YA MAJI YAFADHILIWA NA PWC Shirika la lisilo la kiserikali la Pastrol Womens Council (PWC) limekamilisha ujenzi wa miradi ya maji mitatu ya maji katika kitongoji cha Eserosopia kijiji cha Ololosokwan,Engorpasei kijiji cha Oloipiri na Elua kijiji cha Mondorosi
KITONGOJI CHA LOOSOITO -NGORONGORO TUMEWASHA💡🔌🔌 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umekusudia kuanzia mwaka 2024 kufikisha miundombinu ya umeme hadi kwenye vitongoji baada ya kukamilisha utekelezwaji wa mradi wa kuunganisha huduma hiyo kwenye vijiji vyote nchini.
Leo tarehe 02/04/2024 mkandarasi Urban and Rural (U&R) anaunganisha vijiji 3 ili wananchi waanze kupata huduma ya umeme vijiji hivyo ni Madukani,Orkiu juu na Orkiu chini,hivyo basi wananchi wameaswa kuomba umeme katika Mfumo wa Tanesco unoitwa #Nikonekt ili kuunganishiwa umeme
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.Kabla ya uteuzi huu Makonda alikuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na anachukua nafasi ya John V.Mongella ambaye atapangiwa kazi nyingine
Mbunge wa Simanjiro, Christopher Olesendeka ameshambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana leo jioni,Inasemekana Ole-Sendeka alipokea taarifa kuwa kuna gari lilikuwa likimfuata karibu na makutano ya Ng'abolok na Irkiushin, kisha watu hao walilipita gari lake na kufyatua risasi.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Loliondo imepewa tuzo ya mshindi wa tatu kati ya Mamlaka za Majisafi na usafi wa Mazingira 48 za miji midogo zenye wateja chini ya 5000, tuzo hizo zimetolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati ya Umeme na Maji Tanzania (EWURA)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amekutana na Balozi wa China nchini, Mhe. Chen Mingjian, leo Ijumaa, Machi 15, 2024, Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam.