Anaitwa @official_mramba Nikijana mdogo sana kiumri kulinganisha na mambo anayofanya, keti hapa nikupe wasifu wake. Kabla sijamuelezea pitia hapa kupata dondoo za awali @YIA_Tanzania #beyou
3
12
63
0
0
Download Image
@mpambazi @official_mramba @YIA_Tanzania Naam anaupiga mwingi sana...Anatuhamasisha vijana kwa kweli. @official_mramba
@mpambazi @official_mramba @YIA_Tanzania Mwamba sana huyo dogo