I want to express my gratitude to God for allowing myself and my two companions to escape this horrible car accident unharmed earlier yesterday, Kipekee ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniepusha na ajali hii iliyotokea Jana. Mimi na Kaka zangu wawili sote tumetoka Salama kabisa
@maxmillianway Allah is the greatest kaka. Hongera sana kwa kuongeza kifurushi 🙌🏽
@maxmillianway Umefariki ukiwa na tumain ndani yake Mungu akupumzishe slama Mungu ..🙏
@maxmillianway Aisee, Mungu ni Mkuu na anatenda Miujiza
@maxmillianway Waliosema Mungu ni mwema, sijui God is good.. What is HE now?
@maxmillianway Hakika ni jambo la kumshukuru Mungu kutoka salama, Poleni sana... . . . . x.com/samatimemagari…
@maxmillianway Hakika ni jambo la kumshukuru Mungu kutoka salama, Poleni sana... . . . . x.com/samatimemagari…
@maxmillianway Pole sana Max. Mungu ni MWEMA sana.