Sex ndo Chanzo cha dharau kwenye mahusiano. Kama unataka yadumu na kumpendeza Mungu basi msifanye sex! Kama mnapendana msubiriane hadi muoane ili muwe na sex yenye baraka! Asanteni sana, na kama sauti haitoshi mseme niongeze.
236
54
765
0
2