Msanii na mshindi wa Tuzo ya MTV EMA 2023 @diamondplatnumz , ametembelea ofisi za BASATA na kukabidhiwa Mwongozo wa Maadili katika kazi za Sanaa kutoka kwa Katibu Mtendaji BASATA, Dkt Kedmon Mapana @kmapana , leo tarehe 06 Novemba, 2023.
0
0
22
1K
0
Download Image