Staa wa muziki Diamond Platnumz, kutoka hapa nyumbani Tanzania, Usiku wa jana ametajwa kwenye majina ya washindi wa tuzo za #MTVEMA2023. Daimond alikuwa kwenye kipengele cha Best African Act: ambacho alikuwa akichuwana na Asake, Burna Boy, Libianca na Tyler ICU
0
1
12
551
0
Download Image