Search results for #KashindeUpdates
#KashindeUpdates Kiongozi wa upinzani nchini Korea Kusini Lee Jae-myung alikuwa bado na fahamu alipopelekwa hospitalini baada ya kuchomwa kisu shingoni siku ya Jumanne. - V/CDT @aljazeeraenglish - #PeaceOverInterest
#KashindeUpdates Taarifa kutoka nchini Marekani zinaeleza kuwa msanii Teyana Taylor na baba watoto wake Iman Shumpert hawakutalikiana kwa amani kama walivyoeleza, Mapema mwezi Septemba wawili hao waliweka bayana kuhusu kutalikiana na kwamba wataendelea kuwa marafiki.
#KashindeUpdates Cardi B na Offset wameonekana wakila bata pamoja kuukaribisha mwaka 2024 katika klabu moja ya wacheza utupu huko Miami, Mashabiki wanajiuliza huenda wawili hao wamerudiana tena baada ya wiki chache zilizopita kuripotiwa kuachana. - #PeaceOverInterest
#KashindeUpdates Nick Minaj amemkatalia Rappa Kanye West kutumia Verse yake kwenye albamu yao mpya na Ty Dolla Sign (Vultures), Minaj ameweka wazi kuwa hatamruhusu West kutumia Verse kutokana na kupitwa na muda. - #PeaceOverInterest
#KashindeUpdates Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtoza faini ya TZS milioni 3 mwanamuziki Madee pamoja na kumfungia kujishughulisha na kazi za sanaa mpaka hapo atakapolipa faini hiyo kwa kosa la kuchapisha wimbo unaokiuka maudhui ya baraza hilo.
#KashindeUpdates Rappa Cardi B amethibitisha kuachana na mumewe Rappa Offset, Hili limekuja masaa kadhaa baada ya kuripotiwa tetesi za Offset kuchepuka na Rappa Chrisean Rock, Tetesi ambazo Offset amezikanusha akisema kuwa hamjui Rock wala hajawahi kukutana na mwanadada huyo.
#KashindeUpdates Hahahah Huwezi amini kilichotokea lakini ndivyo ilivyokua Mtangazaji wa shirika la utangazaji nchini Uingereza (BBC) Maryam Moshiri ameomba radhi baada ya kuonekana mubashara akiwanyooshea watizamaji dole la kati mwanzoni tu mwa taarifa ya habari.
#KashindeUpdates Ripoti zinaeleza kuwa nchi ya Mexico ipo katika vita kubwa ya kupambana na madawa ya kulevya ambayo kwa sasa imeongeza mizizi na kuingia katika Dini, Picha za masista wanaovuta bangi zinazozagaa mtandaoni ni kitendo cha mapinduzi/uasi. - #PeaceOverInterest
#KashindeUpdates Mashabiki wa rappa Tory Lanez huenda wakawa katika wasiwasi mkubwa kuhusu msanii huyo kama ataweza kufanya tena kazi ya muziki akiwa gerezani kama wasanii wengine wanavyofanya na kuendeleza (Carrier) zao, mfano mzuri ni mkali kutoka Jamaica Vybz Kartel.
#KashindeUpdates Boosie amekua akiwajia juu wasanii wengi wa kimarekani ambao wame-sample nyimbo zake bila kumtaarifu au kumpatia (Credit) yeyote ile wasanii wengi wa kizazi kipya cha Rap wamekua wakifanya huu uhuni. - #PeaceOverInterest
#KashindeUpdates Siku chache zilizopita Rappa maarufu kutoka nchini Marekani Snoop Dogg alitangaza kupitia mtandao wake wa kijamii kuachana na uvutaji wa Bangi, Ripoti kutoka nchini humo zinasema kuwa msanii huyo amerejea kuvuta Bangi kama kawaida yake. - #PeaceOverInterest
#KashindeUpdates Mapema wikiendi hii Rocky amefunguka katika mahojiano na chombo kimoja cha habari akisema kuwa huenda yeye na Rihanna wasitoe wimbo wa pamoja kwa kuwa wanashirikiana vyema katika malezi na kutengeneza watoto. - #PeaceOverInterest
#KashindeUpdates Jada Pinkett Smith mke wa muigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Will Smith amekanusha tuhuma zilizotolewa na aliyekua msaidizi wa mumewe kuwa muigizaji huyo anajihusisha kimapenzi na mshkaji wake Duane Martin. @KashindeEnt
#KashindeUpdates Malengo ya msanii Harmonize kutafuta kupanua wigo wa muziki kimataifa yanaendelea kuonekana baada ya msanii huyo kuchapisha video katika mtandao wake wa kijamii akiwa na Rappa kutoka Marekani Bobby SHMURDA. @KashindeEnt
#KashindeUpdates Kwa mujibu wa aliyekua msaidizi na rafiki wa karibu na muigizaji Will Smith, Jamaa anaitwa Brother Bilaal amemtuhumu muigizaji huyo kujihusisha kimapenzi na mshkaji wake wa karibu Duane Martin.
#KashindeUpdates Taarifa kutoka kikao cha kusikiliza rufaa ya wanamuziki wa Bongo Fleva nchini Mbosso, Billnas, na Whozu kimefikia maamuzi ya kuwataka wasani hao kulipa faini ili waweze kuruhusiwa kufanya kazi za sanaa nchini kwa kufuata taratibu na maadili ya Kitanzania.
#KashindeUpdates Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA) imesema inayoorodha ya wasani wote wanaoihusisha na matumizi ya dawa za kulevya na imewataka kuacha mara moja kabla ya kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria.
#KashindeUpdates Jamaa mmoja huko nchini Marekani ambaye bado wadhifa wake haujatambulika amemjia juu Rappa YG akimtaka afute picha ya mama mtoto wake aliyochapisha katika mtandao wa kijamii.
#KashindeUpdates Diamond Platnumz amefanikiwa kushinda tuzo ya the Best African Act Award katika sherehe ya utoaji tuzo hizo ya (the 2023 MTV EMAs).
#KashindeUpdates Msanii Ice Spice amekua na utata hasa linapokuja swala la mavazi tangu alipochipukia katika kiwanda cha Muziki nchini Marekani, Wikiendi hii Munch Singer (Ice Spice) ametumbuiza akiwa amevalia kama Sexy Betty Boop katika Spirit ya Halloween.