Search results for #CodesZaKitaa
"Jamaa alikuwa ni afisa wa KDF, sasa alienda mission, kurudi akapata nyumba yangu imejaa vitu vipya.Aliniuliza hii ni pesa ya Aunty's boss imekupea nini kweli?Akaanza issues na akaniacha. Je wewe uliachwa kwa lipi? #CodesZaKitaa^RZ
Mwigizaji Sandra Dacha amefichua kuwa aliachana na mpenzi wake baada ya kununua jokofu(fridge) kubwa kuliko ya mpenzi wake. #CodesZaKitaa^RZ
"Wasanii wa bango hakuna kitu wanaimba.Wamechaganyikiwa."Zakunona. #CodesZaKitaa^RZ
"Hata kama wewe ni selebu,ishi maisha yako ya kawaida."Beyonce #CodesZaKitaa #MashavMashav ^RZ
"Kama huna hela,tulia ,usipige kelele ."Beyonce. #CodesZaKitaa #MashavMashav ^RZ
"Wenye wanasema nimechapa sina shida lakini nashukuru Mungu niko na mtoto."Beyonce #CodesZaKitaa #MashavMashav ^RZ
"Wasanii waache matusi na chuki ili kukuza muziki "Beyonce #CodesZaKitaa #MashavMashav ^RZ
"Si lazima nitoe pesa kwenye hizi Coast Awards,bado ntaendelea kutoa vinyago kwa sababu hivi vinyago ndivyo vitu vya kuonyesha kuwa ulishinda tuzo."Beyonce #CodesZaKitaa #MashavMashav ^RZ
"Mimi ndiye nilifanya ngoma za wasanii wa Pwani kufika jijini Nairobi."Beyonce #CodesZaKitaa #MashavMashav ^RZ
"Nilipotea kwenye sekta ya muziki kwa sababu ya ulezi.Huwezi kuwa mama na pia kuwa selebu kwa wakati mmoja. " Beyonce #CodesZaKitaa #MashavMashav ^RZ
"Beach party zilikufa kwa sababu ya chuki.Kuna watu waliingilia kazi zenye hawaziwezi." #CodesZaKitaa #MashavMashav ^RZ
"Nashabikia sana Arsenal."Beyonce #CodesZaKitaa #MashavMashav ^RZ
"Nampenda sana ECHO 254.Huyu kijana akipata mtu mzuri atakuwa zaidi ya Masauti."Beyonce. #CodesZaKitaa #MashavMashav ^RZ
"Susumila amenyamaza sana kama mimi."Beyonce #CodesZaKitaa #MashavMashav ^RZ
Govi,''Vijana tunzeni uhai.Uhai ndIcho kitu ambacho kinaweza kukupa nafasi ya kuishi vyenye unataka.'' #CodesZaKitaa #MashavMashav^RZ
Govi.''Vijana wacheni kutumia dawa za kulevya.Tosheka na kidogo chako.'' #CodesZaKitaa #MashavMashav^RZ
Govi "Wakenya wanataka kazi za nyumbani na waigizaji wako na soko kubwa." #CodesZaKitaa #MashavMashav ^RZ
"Sekta ya uigizaji hapa nchini ni nzuri sana kuliko nchi zingine kama Afrika Kusini na Nigeria, tofauti ni njia za kunadi kazi ."Govi. #CodesZaKitaa #MashavMashav^RZ
Govi "Sekta ya uigizaji hapa nchini ni nzuri sana kuliko nchini zingine kama Afrika Kusini na Nigeria, tofauti ni kuuuza kazi zao." #CodesZaKitaa^RZ
Diss track hio imepelekea jarida la Umbea nchini Marekani The Shaderoom kupiga kura maoni ya mashabiki ya wasanii hao wawili ambapo Chris Brown huku Diss Track ya Chris ikitamba kwa asilimia 88 naye Quavo akiwa na asilimia 6. #CodesZaKitaa #MashavMashav^RZ