Mwezi huu mtukufu uwe wa baraka tele kwako na kwa familia yako. Katika kipindi hiki, tukumbuke ukuu na upendo wa Mwenyezi Mungu. Ramadan Kareem.
57
109
1K
46K
0
Download Image
May this holy month bring blessings in abundance to you and your families. May we all be reminded of Allah's gentleness and everlasting love. Ramadan Kareem.
@freemanmbowetz Acha blaaah blaah nyingi tunataka itaji la katiba mpya Hiyo ndio kazi tunayokupea mambo ya ramadhani kuna mufti ata tutakethrough
@freemanmbowetz Jamani, "ramadan" ndio kitu gani?
@freemanmbowetz Abuubakar Mbowe, uliitwa Zanzibar, na kweli unafanana na swahaba Abubakar kwa kuipigania HAKI, Allah akutangulie katika kila hatua mwenyekiti wangu❤️