Nilichukua sim ya Dem wangu nikamtumia sms Mamaake Mzazi humo, “Mama mm Mwanao sielewi nahisi kama nna uja uzito 😔 ?Mama aka Reply Eeh! Ya nani tena Mwanangu Ya Yule Mbunge,kama Y yule Mzungu usitoe,Au Ya Elia,Sio Ya Saidi Kweli,Mama kataja Majina 10 langu la 11 au kale kasanii
119
57
888
0
2
@bill_nass 😂😂 Sasa umechukua Uamzi gani Baharia??
@bill_nass Ako kasanii sasa unaweza kuta sio wewe hata ni Mario labda😂
@bill_nass Usipend kujipa msungo wa mawazo kikubwa unapata unachotaka bas vingine mwachie mwenyew aishi navyo