Japhari L. Kibona @Visualizedboy
*The talented ones are the Blessed ones* 📌Graduated at UDOM (2017-2020) 📌BedADMAN 📌SIMBA SC, MAN UTD&R. MADRID FAN Am here to hang around with sociable ones Anywhere Joined March 2018-
Tweets58K
-
Followers3K
-
Following5K
-
Likes123K
Iko hivi, unamtumia Bi-Mkubwa laki Moja Makato ni 1,400. Akienda kwa wakala kutoa anakatwa tena 4000. Kwenye laki moja umetumia Zaidi ya ELFU TANO kwenye makato. Angalia unavyopoteza pesa na huo mtandao wako. "Kikulacho kinguoni mwako." Sisi sio watesi👇
On that Joseph Na Johnny song @dizastavina wrote a letter to Hip Hop/Rap addressing Joseph (Prof. Jay) his idol. On the other hand @Kaa_Moto wrote a letter to Hip Hop/Rap addressing Johnny (Johnny Viget) his idol A peak work of art🙌🏾 Cc: @PanAuthentik
Had to download Audiomack to listen to this Masterpiece... Joseph Na Johnny an open letter to Hip Hop/RAP👊🏾 @Kaa_Moto X @dizastavina A Masterpiece🙌🏾, What a time to be alive🤌🏾
Albert Einstein alifariki mwaka 1955 akiwa na miaka 76, lakini maneno yake bado yanaumiza kwa ukweli wake, “Kuwa na akili wakati mwingine ni laana. Unaielewa mchezo, unaona uongo, na unatambua mienendo inavyoendelea, lakini bado unalazimika kujifanya mjinga ili uweze kuishi.”
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 👉 Size S,M,L,Xl,& XXL 👉Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Dizasta Akirap Akifanya beat
Hizi hapa streaming apps nyingi zina quality nzuri kabisa Sportzfy PLAYFy Tv CRICFy Tv Score808 Onstream Fawanews Hapa una enjoy kabisa binafsi Fawanews haina kona kona naipendelea zaidi.
Hivi kwenye iPhone huwa mnatumia App gani kuangalia mpira hususa Ligi ya England?🤔
Afya ya uzazi ni haki na msingi wa maisha bora. Kujilinda, kupata taarifa sahihi na kufanya maamuzi salama kuhusu afya yako ni hatua muhimu kwa kila kijana. Usisubiri tatizo litokee, jenga afya yako leo kwa ajili ya kesho iliyo bora. #YouthLedSRHR
"Mitandao ya kijamii (social media) inaweka kwa urahisi sana kumbukumbu ya rejea ya kila unachokisema hadharani. Hii inafanya kauli zako unazozitoa hadharani na haswa kwa njia ya mitandao ya kijamii kuwa ni 'msumeno', kwa maana ya kwamba zinaweza kutumika pia dhidi yako mbeleni."
SHAABAN NA NGUGI - Dizasta Vina ft. Kaa La Moto Oyaaaaa!! Shaaban na Ngugi, si ile track ya kuweka tu speaker ikalia halafu unaendelea na shughuli zako. Hii ni ile ngoma ambayo ukikaa chini ukaipa sikio, unaanza kugundua layers zake moja baada ya nyingine. Yaani Vina na Kaa La Moto wamechukua kalamu ya fasihi, wakaichomeka kwenye microphone, halafu wakaiachia ipige freestyle ya maisha. Kwanza kabisa, title yenyewe ina uzito. Shaaban Robert na Ngugi wa Thiong’o si majina ya kubahatisha. Hawa ni watu wa kalamu, watu waliotumia lugha kama silaha ya kufikiria, kuhoji jamii na kumzungumzia Mwafrika. Sasa Vina na Kaa wameichukua hiyo spirit na kuipeleka kwenye rap. Ni kama kizazi cha vitabu kimekutana na kizazi cha mic. Vina kwenye hii track anaonekana kama kawaida yake ni architect wa story. Hajaanza kukimbizana na punchline kila baada ya sekunde mbili. Yaani ana build scene, anaweka picha, anaunganisha dots na anakupa muda wa kutafakari. Hii ndiyo strength yake kubwa, niseme ni conceptual writing. Unasikia kama anasimulia story lakini nyuma ya hiyo story kuna thesis. Yaani kuna kitu anataka ukifikirie, uumize ndonga na hapa ndipo Vina huwa anakuwa tofauti na rapper anayejua tu kurusha mistari. Vina anajua kuandika wimbo kama screenplay. Kuna setup, kuna development, kuna payoff. Anaweza kuanza kwenye kitu kidogo halafu akakufikisha kwenye idea kubwa bila hata kugonga breki. Lakini sasa Kaa La Moto anaingia... Hapo ndipo moto unawashwa si kitoto. Kaa hana ile delivery ya kuomba nafasi, yaani naingia kwenye beat kama tayari ni kwake. Yaani kuanzia Cadence yake, pocket yake, articulation yake na projection yake vinafanya verse yake iwe na character tofauti kabisa. Yaani unahisi rapper yupo ndani ya beat, sio kwamba beat ipo chini yake. Pia Kaa ana kitu kingine muhimu sana kwenye hiphop niseme ni presence. Kuna rappers wanaandika mistari mizito lakini wakifika kwenye mic, moto unakufa kwa Kaa ni tofauti. Huyu mwamba anachukua mstari, anaupa pressure, anauweka kwenye pocket, halafu anauacha uanguke. Na hapo ndipo delivery inakuwa sehemu ya lyrics. Naweza sema Kaa hakariri verse, anaishi verse na hiyo ndio sababu verse yake inaweza kukufanya urudishe ngoma nyuma hata kama umeshaisikia mara tatu. Kwenye beat, hawa wawili wamepata nafasi ya kuonyesha tofauti zao. Tempo ikiwa juu, bado hawajakimbia ovyo oyaaaa wametulia kinyama. Wanajua breath control, wanajua pauses, wanajua kusisitiza neno na wanajua kuacha nafasi beat ipumue. Hiyo ndiyo tofauti kati ya nimeandika mistari mingi na nime master rap performance. Kuna pia ile technique ya switching cadence, yaani kubadilisha flow bila kupoteza pocket. Hapo ndio unagundua kuwa rap sio maneno pekee ila ni rhythm, timing, emphasis, tone na attitude.
Na tukirudi kwenye dhamira ya ngoma, hapa ndipo Shaaban na Ngugi inapokuwa kubwa kuliko battle ya nani amepiga verse kali. Ngoma inazungumzia kwa namna yake lugha, fasihi, utambulisho, historia na namna Mwafrika anavyojieleza kupitia maneno. Shaaban Robert anasimama kama nguzo ya fasihi ya Kiswahili na Ngugi anasimama kama sauti kubwa kwenye mijadala ya lugha, ukoloni, utamaduni na uhuru wa fikra. Najua mtataka kujua nani amekata zaidi kwenye hii ngoma. Kwa concept na story architecture, namuweka Dizasta Vina mbele. Jamaa ndio amebeba ramani ya safari, Vina anaijua track inaanzia wapi, inapita wapi na inataka kukupeleka wapi. Lakini kwa delivery, flow, presence na ile damn, huyu ameingia, factor... Kaa La Moto amekata zaidi. Kaa ana ile energy ya rapper akipewa mic kwenye cypher halafu watu wanaanza kusogea karibu. Sio lazima apige kelele, mwamba anajua kucontrol attention. Vina anakufanya ufikirie, Kaa anakufanya uhisi naVina anakupa story, Kaa anakupa impact.... Oya sio poa Dizasta Vina ndiye brain wa track na Kaa La Moto ndiye adrenaline ya track. Lakini kama tunapiga kura ya nani amekata zaidi kwenye mic upande wangu ni KAA LA MOTO. Yaani Vina amejenga stage, amepanga lights, akaandika script. Kaa akapanda stage akasema, Mimi nimekuja kufanya hii shit hahaha... Lakini ukiniuliza nani amebeba ubongo wa project, namchagua Dizasta Vina.
Ndugu wa Mbali - EP (Side A) on Audiomack 🇹🇿 Keep Streaming: dizastavina.com/ndugu-wa-mbali #DZSTVN
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 👉 JEZI ZA WATOTO 👉Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Hakuna kitu ‘watesi’ wetu hukipenda kama historia. Utahukumiwa kwa maamuzi na maisha uliyoishi jana. Utanyanyaswa na utoto wa juzi. Utatiwa unyonge uamini ukishakosea ndio basi hubadiliki tena. Shida ya watesi ni imani kuwa nyakati haziwabadilishi watu nafasi ulivyowahi kuwa ndivyo utakavyoendelea kuwa. Maisha, hata hivyo, hutuletea watu wema wasiotung’ang’ania kwa makosa ya jana. Hawa ni watu wenye ukuu ndani yao, ‘wanaotuhukumu’ kwa huangalia zaidi kile tulichonacho leo, mtazamo wetu wa sasa, kule tunakokwenda na uwezo wetu wa kubadilika. Watu wema hawa hutambua ni kweli shuleni ulizungusha lakini hiyo haimaanishi hukuwa na akili. Wema hutambua ni kweli ulizalia nyumbani, lakini hiyo haimaanishi huwezi kujenga familia imara. Wema hutambua ni kweli ulikuwa mdokozi lakini hiyo haimaanishi huwezi kuwa mcha Mungu leo. Watu wema, kwa hakika, hutambua upande chanya wa historia zetu. Kwamba makosa na historia tusizozipenda huweza kumfundisha mtu somo muhimu linaloweza kubadilisha kabisa maisha. Nasi pia, kwa upande mwingine, tunaweza kujifunza kuwa wema na hivyo kuwapa watu nafasi ya kujifunza na kuonesha namna simulizi la maisha yao linavyoweza kubadilika. Soma kitabu cha Carol Dweck, Mindset.
Habari ndugu, karibu kwa kazi mpya ...#Nduguwambali Mombasa na Mzizima - youtu.be/LYWIXIGmUYM?si… Shaaban na Ngugi - youtu.be/MgZhvrn5xhY?si… Project link - dizastavina.com/ndugu-wa-mbali/
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 👉 Size S,M,L,Xl,& XXL 👉Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Wakuu Sio kwa Ubaya. Na mtanisamehe kama nitawakwaza. Nina Maswali kadhaa 1. Kuna Faida gani kwa mnywaji wa pombe kuchanganya aina mbali mbali za Pombe kali pamoja. Kwani akinywa aina moja moja kivyake hapati ladha? 2 Je huu uchanganyaji kwa namna gani unazingatia Usalama wa Afya wa mtumiaji??
"...Nyama zinavunda tunazuga na Matembele Usije Bongo iwe kwa shule, show ama Sebene Wanafunzi bado wana-roll na Mapedeshee Ni Condom tu ndio zinafichwa kwa mikebe CV zinajengwa kwa kuchezesha mawezele Ah! Muziki umeganda nasikia kelele..." KLM × DZSTVN Good Music🎖️🙌🏾
SANUKAnaCHAPO @chapo255
451K Followers 3K Following | Your plug for Entertainment, Pop Culture & Viral Trends | Owner @usedpointtz 💻|
Simulizi Planet @simuliziplanet
156K Followers 3K Following Elimika na burudika kupitia simulizi nzuri za kusisimua kila siku ya j4, Alhamis na Jmosi
John Pambalu @John_Pambalu
311K Followers 2K Following Former BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.
Holy @yose_hoza
161K Followers 32K Following Digital Inclusion | Telecommunication Engineer | #ElimikaWikiendi
Pasco Nkololo @Nkololotz
88K Followers 8K Following Tax | FDI | Strategic Philanthropic | Special Economic Zones & More |
James challo @HJenesius11358
6 Followers 53 Following
Jackson Uwamungu @JacksonUwa96205
5 Followers 129 Following
Japhal japha @JaphalShaban
2K Followers 2K Following @ManCity 💙 @YoungAfricansSC 💚 💛 #Pambania_unachokiamini.
Kitwango Think Bigger... @JapharyWisdom
3K Followers 3K Following Dunia Haina Muda wa kumsubiri Mnyonge✌️/ @YoungAfricansSc💚💛 _ @Mancity 💙🤍/ Maisha ni Darasa. Ninaandika ili TuJifunze Pamoja. #ElimikaBureNaKitwango🧠
PaschalSam1 @P_simpleman95
2K Followers 7K Following A good heart atract blessing. ||SimbaSCTanzania & ManUtd ||
Adv.Innocent⚖️ @Adv_innocent
10K Followers 9K Following | Arsenal till the end | 📚 |Dedicated in justice.
Ecstasy @JrfraysonM
778 Followers 2K Following #Mentored by Almalik Mokiwa and Psychedelia 2026. (Techriz)📈📉 #29th October 2025🕊️🙏 #Chelsea💙
George Bahemu @georgebahemu
3K Followers 7K Following
Isdory Isdory @isdorykibasa
2K Followers 5K Following if you cannot do great things then do small things in a great way. arsenal/simba supporter' ordinary human being
Vitabudhahabu @goldenbooks2025
228 Followers 1K Following Your trusted online bookstore in Tanzania, specializing in business, finance, and self-help books. Wholesale & Retail WHATSAPP: https://t.co/6GMKkQ5BAI
Lug placer @gilaemm68880
11 Followers 106 Following
Salama Tobola @SalamaTobo46147
0 Followers 10 Following
Vibert Kamasho @KamashoVib96761
4 Followers 67 Following
James Juma @HoneyAsaliHoney
18 Followers 243 Following
Спецслужбы @AgapitoIdefonce
40 Followers 250 Following Strong minds discuss ideas, Average minds discuss events, Weak minds discuss people
Sir Major☀️ @smkami
3K Followers 4K Following Petroleum and Industrial Services Expert | Businessman | Human Rights Monitor | Political Infuencer
Faida Magiyula 𝕏 @faida_magiyula
5K Followers 3K Following | Passionate in political, Economic & Social-Cultural affairs. | Argue, Don’t shout | Tweet’s are mine.
LAST BORN🇹🇿 @Last_born97
32K Followers 6K Following @YoungAfricansSc | @manutd | POLITICAL ANIMAL | DON'T TRUST MY SMILE | A WOUNDED BUFFALO | AM NOT LUCKY, AM BLESSED | I LOVE MYSELF | SELECTIVE SOCIAL #WANAZIHQ
George Muhoma @GeorgeMuhoma
22 Followers 470 Following
martha banda @marthaband7386
1K Followers 7K Following WITH GOD ALL THINGS ARE POSSIBLE ☦ kindly send direct message if interested to know how Binance fx company changed my life completely 💯📌
Elias Siwale @elias_siwa8548
4 Followers 52 Following
john charles @johncharle12509
2 Followers 10 Following
Elly Uddy @EllyUddy9227
6 Followers 122 Following
Dominic Andrew @DominicAnd58229
3 Followers 42 Following
kareem abdallah @KAbdallah8277
19 Followers 375 Following
Anastel mponeja @AnastelM66985
0 Followers 37 Following
Nelson Banda @NelsonBand47161
1 Followers 16 Following
Boomerang tz @BoomerangTz
824 Followers 4K Following
DOVILLEN REAL ESTATE ... @DovillenP
2K Followers 7K Following Property Broker Services Buying, Selling, Renting: Houses Plots Yards Godowns Farms Industrial Plots Contact: +255 756 060 183 @DovillenP
Nkosi Jennifer @NkosiJenni96009
301 Followers 3K Following Pls follow back,old account was hacked registered nurse | statistics | Banking & Mfazi Ka Mntungwa. Wonderlust
Damian Gerald @DamianGera51657
0 Followers 12 Following
MAN IN 30's @TANZANIABRO
3K Followers 6K Following Some will make it in class while others will make it in life 😎 .
Mwakatundu Jɾ @amusmartz
6K Followers 4K Following Founder & COO of @leosoap || Vice Chairperson, Technical Committee – Dar es Salaam Athletics Association || Social Media Manager || 📱Business +255 766 901 509
babu bachu @dhulkiflyussuph
5K Followers 6K Following 🅱🅰🅱U 🅱🅰CHU Strive four Hummanity I Am A Voices Of The Voiceless
Donatus Deusdedith @DonatusDeu30533
6 Followers 75 Following
YASIN HUSSEIN @hussein_ya14762
7 Followers 53 Following
PEDRO TECH @Pedro_digital_9
2K Followers 2K Following
Martin Maranja Masese @IAMartin_
612K Followers 1K Following MMM | Sperm That Won The Race | Cogito, ergo Sum | Patria o Muerte, Venceremos |
Lubasha Jr @MarekaMalili
680K Followers 2K Following |Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian& Gio |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|
Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.1M Followers 72K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - President/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - Industrialist
Ayubu Madenge @ayubu_madenge
393K Followers 2K Following Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the people
Boniface Jacob @ExMayorUbungo
584K Followers 9K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal Council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov. Ubungo councilor 2010-2020 BAEd Udsm CHADEMA CC MEMBER
Mohammed Dewji MO @moodewji
2.3M Followers 133 Following Pan-African Entrepreneur, President @MeTL_Group & @SimbaSCTanzania, Philanthropist @DewjiFoundation, Georgetown Alumni #Hoya
SANUKAnaCHAPO @chapo255
451K Followers 3K Following | Your plug for Entertainment, Pop Culture & Viral Trends | Owner @usedpointtz 💻|
Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.4M Followers 10K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Daktari Wa Manesi �... @McinikaWaLamar
834K Followers 2K Following 💼 Social Media Guru| Influencers Manager | Content Creator | Sensei | Digital Strategist | Master Mind
John Heche @HecheJohn
808K Followers 2K Following Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.3M Followers 1K Following Politician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father
Hilda Newton @HildaNewton21
957K Followers 2K Following Journalist/Activist/President Of Tanzania 2045
George Ambangile @George_Ambangil
936K Followers 1K Following GeorgeAmbangile|FootballAnalyst|Supersport commentator
Spana & V.A.R Movemen... @spana_Konki
382K Followers 1K Following Spana Wolfgang Konki| Certified Spanaz & V.A.R 🔧 Spana Headquarters🏢. Spana & V.A.R Compilation. Ni-Tag penye Spana/V.A.R. JUMUIYA YA WAPIGA SPANA
fatma karume aka Shan... @fatma_karume
1.2M Followers 664 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight
Young Africans SC @YoungAfricansSC
417K Followers 65 Following Official Twitter Page Of Young Africans Sports Club | Home Of Champions🏆
Kitwango Think Bigger... @JapharyWisdom
3K Followers 3K Following Dunia Haina Muda wa kumsubiri Mnyonge✌️/ @YoungAfricansSc💚💛 _ @Mancity 💙🤍/ Maisha ni Darasa. Ninaandika ili TuJifunze Pamoja. #ElimikaBureNaKitwango🧠
FIFA World Cup @FIFAWorldCup
13.2M Followers 670 Following 🏆 The official #FIFAWorldCup account on X.
Adv.Innocent⚖️ @Adv_innocent
10K Followers 9K Following | Arsenal till the end | 📚 |Dedicated in justice.
Microsoft @Microsoft
13.1M Followers 1K Following We're on a mission to empower every person and every organization on the planet to achieve more. Support: @MicrosoftHelps
Vitabudhahabu @goldenbooks2025
228 Followers 1K Following Your trusted online bookstore in Tanzania, specializing in business, finance, and self-help books. Wholesale & Retail WHATSAPP: https://t.co/6GMKkQ5BAI
George Bahemu @georgebahemu
3K Followers 7K Following
Larry Madowo @LarryMadowo
3.1M Followers 2K Following International Correspondent, @CNN. African Voices Host, @cnni. Nomad. Past lives in Joburg, London, New York & Washington. Bad jokes, good vibes.
Maalim Nash @Nashemcee
39K Followers 384 Following Maalim Nash. Hip Hop Emcee Representing 🇹🇿. Home of Swahili.
Sir Major☀️ @smkami
3K Followers 4K Following Petroleum and Industrial Services Expert | Businessman | Human Rights Monitor | Political Infuencer
Dastan Komba @komba_dastan
5 Followers 93 Following
Esta Mickidadi @MickidadiEsta
1 Followers 73 Following
Livin Athanas Silayo @Livinho_CR7
4K Followers 3K Following #GodFirst 👉"In the world you will have tribulation. But take heart; I have overcome the world." DIE-HARD FAN @Cristiano #CR7 @Manutd @SimbaScTanzania #Mr.LA$
Beatha Josephat @BeathaJ95951
2 Followers 18 Following
Sarah mapunda @mapunda786
55 Followers 366 Following
AnyTime Updates @AnytimeUpdates
172 Followers 945 Following Pata habari mbalimbali ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Nkosi Jennifer @NkosiJenni96009
301 Followers 3K Following Pls follow back,old account was hacked registered nurse | statistics | Banking & Mfazi Ka Mntungwa. Wonderlust
Boomerang tz @BoomerangTz
824 Followers 4K Following
Nelson Banda @NelsonBand47161
1 Followers 16 Following
Elias Siwale @elias_siwa8548
4 Followers 52 Following
George Muhoma @GeorgeMuhoma
22 Followers 470 Following
martha banda @marthaband7386
1K Followers 7K Following WITH GOD ALL THINGS ARE POSSIBLE ☦ kindly send direct message if interested to know how Binance fx company changed my life completely 💯📌
StoicRise @StoicRise
37K Followers 4 Following Stoic Wisdom for Daily Living. Meditations. Wisdom For the Modern World.
African @ali_naka
494K Followers 32K Following Proud Son Of Africa.A Villager. My Tweets Are My Personal Views,Not Organization/Individuals I might be Associated with, Judge Me If It Makes You Feel Better
Dolby Dolby @DolbyDolby13
56 Followers 1K Following
Ambakisye Mwakisyala @AmbakisyeMwak11
29K Followers 20K Following Uchaguzi wa Mwaka Huu Upinzani Tunaitaji Kushinda ili na Chama Cha CCM kiwe Chama Cha Upinzani, Kione Joto la Kuitwa Chama cha Upinzani. Maneno yenu ya Umbay
Mwana Bigo @MwanaBigo82461
11 Followers 161 Following
Marrymumba @Marrymumba11383
1K Followers 6K Following GOD FIRST☦️ Registered nurse👩⚕️and a Consultant 💫
MACHAFUKO💧💧 @MACHAFUKOTZ
291 Followers 2K Following human rights activist. tutapigania haki za wote waliotekwa, tutapaza sauti bila kuchoka kupinga ukandamizaji wa haki ya kuishi ya kila binadamu. kindly follow.
NANDUTU HILDA @GreatPricelady
345 Followers 1K Following The Power of Salvation 2026 the lord has spoken, and all things are working together for my good. God, just do , I don't limit you. I joy in the Lord!!!!!
Troll Football @TrollFootball
5.0M Followers 520 Following 🚨 Don't follow us if you can't take a troll on your fav club/player. Contact: [email protected] sponsored by @rainbetcom
Rev. Dr. Eliona Kimar... @ElionaKimaro
10K Followers 36 Following Senior Pastor at Kijitonyama Lutheran Parish | Author | Philanthropist | Gen 1:3 - “Let there be Light”
Odero Odero @HakiBalozi255
3K Followers 20 Following Human Rights Activist Politician Communication Expert Journalist Human Being
DOVILLEN REAL ESTATE ... @DovillenP
2K Followers 7K Following Property Broker Services Buying, Selling, Renting: Houses Plots Yards Godowns Farms Industrial Plots Contact: +255 756 060 183 @DovillenP
Mwakatundu Jɾ @amusmartz
6K Followers 4K Following Founder & COO of @leosoap || Vice Chairperson, Technical Committee – Dar es Salaam Athletics Association || Social Media Manager || 📱Business +255 766 901 509










































