85
13
131
33K
2
Download Image
@Sisimizi3 Usisaau ww unaechochea kuumizwa kwa wasiokuwa na hatia kwajili yakutetea haki naww utaingia kwenye iyo kona ww au baba au kaka au mtoto nimuda tu subiri 😂😂😂
@Sisimizi3 @kigogo2014 Kwani wengine wamekufa???🤣🤣🤣🤣alishindwa magu na hyo plan au umesahau??
@Sisimizi3 @kigogo2014 Hawa wanataka kuondoa Amani na utulivu wa Nchi yetu, na mambo yakiwa magumu wao watakimbia ulaya..Ongopa hawa ni matepeli wa siasa
@Sisimizi3 Watanganyika tunawapongeza watetea mali za Tanganyika kwa kufichua wezi wa taifa na mafisadi
@Sisimizi3 Chawa wa ccm sikuhizi mmekuwa mahakama Sasa. Tayari mmeshawahukumu
@Sisimizi3 Mtu mwenye akili timamu hujenga hoja na kuiachia jamii ichakate na kubaini ukweli. Sasa ukimuona mtu anasisitiza hoja tambua kuwa huyo ana lake