Kanzu inauma nyie
@Semkae @SendMeThisVideo
@Semkae Mi nimeangalia kanzu sijaona! Kanzu Ngoma huwa ina pigwa juu then ina anguka umbali wa M 3/4! Hiyo naona ilikuwa pasi iliyo pitishwa juu tu
@Semkae Sana
@Semkae Ila kwel inauma sana halafu ndo unakuta mshapigwa
@Semkae @GetVidBot
@Semkae @SaveVidBot
@Semkae Hili video naitunza, one day ntaitumia kama mahari
@Semkae @WemaKako hadi wanapiga makofi daah
@Semkae Wachome wachomeeeeee 😂
@Semkae @Wakazi Watoto wa siku hizi heshima hakuna kabisa🤣🤣