🚨🚨#Tanzania 🚨🚨‼️ #EnforcedDisappearances Mwamlima Kennedy is a tiktoker from Mbeya He has been fearlessly critical of the government! Six days ago he was taken by plain clothed men who identified as police and not seen since! Police deny having him @SuluhuSamia and her govt continue the same human rights violations like Magufuli! #FreeMwamilimaKennedy
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Haya mambo yasikie kwa watu wengine tu but yakitokea kwa mmoja wa family members ndio utaona umuhimu wa kuongeza nguvu kupinga huu udhalimu.
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Miaka hii bado tunafikia hapa, really sad.
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Uhuru wa maoni bado ni tatizo kubwa sana kwa Serikali hii ya sisiem inayoongozwa na @SuluhuSamia
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Yani kuna muda Rais Samia anashindwa kueleweka asaidiwe kwa namna ipi? Mawaziri wake wote tayari wanamsaliti na hakuna anaemsaidia kumwambia ukweli kwa lolote ili awe salama mbele ya wananch wake. Leo mwananch kama huyu baada awe ni jicho lake la mtaani, yeye anamkamata, kweli!!
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Huyu mwamba Hajulikani halipo? Mambo haya ndo tunayapinga, kila mtu ana haki na uhuru wa kutoa maoni yake, Serikali ya Samia ni kama Mbwa mtu alievalia ngozi ya kondoo
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Samia anachostahili kwa sasa ni kuondolewa madarakan tu. Ata umuoneshe njia bora za kuongoza taifa bado hata zingatia chochote. Watanzania tumuondoe.
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Hiv ruto na yeye a afanya kama Hawa wa tz hawataki kukosolewa hiv wanajua maana ya uongozi kweli😭 watu wabaya watatumia hiitabia ya ccm kumaliza raia