LAULENCE H. DISHON @LaulenceDishon
✍️✍️ Dodoma Tanzania Joined March 2023-
Tweets71
-
Followers281
-
Following2K
-
Likes14
Stop whatever you are doing and check this on your hand To know if you should continue hustling or to give up on time.🤣🤣🤣
Mama wajawazito Hospitali wanajifungulia watoto chini ya sakafu kwa sababu hakuna vitanda. Watoto wanakaa Chini mashuleni hakuna madawati, shule hazina matundu ya vyoo. Msomi mwenye PhD unatetea serikali kutumia fedha za walala hoi kununua magari ya kifahari. Inasikitisha sana.
Nimda sasa wakumshukuru Mungu kwakutuweka pamoja tangu 2021 mpaka sasa, nakumuomba atuongoze vyema huko tuendako, tukayatimize malengo tuliyojiwekea, Amina✍️ special recognition to ANGEL,MNIRAH,OLIVER AND MIRIAM.
Umuhimu wa Tume ya Uchaguzi kubadilishwa jina ni upi kama yanayofanyika ni yale yale? Ni sawa leo CCM wabadilishe jina badala ya kuitwa CHAMA CHA MAPINDUZI, wajiite CHAMA CHA MAPADRI, utaamini kwamba CCM kimetakasika ni njia ya kutufikisha nchi ya ahadi? >>TUME ni ile ile!
Katiba inasema kutakuwa na rais na makamu lakini haijawataja majina. Katiba inasema kutakuwa na tume ya taifa uchaguzi. Haikusema itakuwa inaitwaje, sheria ikapitisha iitwe tume ya taifa ya uchaguzi. Ingeweza kuitwa tume kuu ya uchaguzi as long inasadifu kazi za tume ya uchaguzi
Mchakato wa upatikanaji wa sheria hii mpya ya uchaguzi asilimia kubwa haukuzingatia maoni ya wanainchi kwa wingi, ispokua ni mawazo ya wachache tu. Mkiskia msiba wa kisiasa na kifikra ndio huu,✍️✍️ wanetu wa @ChademaTz jipangeni tu na uchaguzi kivingine ila sioni mkitoboa 2025😂
Taarifa za Vifo, Majeraha na kupotea kwa Watoto wa Shule ya Ghati Memorial Jiiini Arusha zinaumiza na kihuzunisha sana, Mungu alie Mfariji mwema awatie nguvu na kuwaondolea Trauma wazazi na walezi wao.
"Never interrupt your enemy when he is making a mistake”
Tunaishi katika ulimwengu ambao kuonekana ni muhimu zaidi kuliko nafsi,🤔🤔🤔 unamsaidia mtu ilimladi uonekane umemsaidia ilihali hujamsaidia nafsi yako ikipenda, mpaka unajitangaza kilamahali kua umemsaidia fulani🤔 huu ni ujinga, shida haibagui leo kwangu kesho kwako✍️🖐
Watumishi wa Umma/binafsi ambao wamechangia Kwa zaidi ya miezi 108 yaani miaka 9 Katika NSSF/PSSSF Sasa rukhsa kutumia michango yao kama dhamana ya kuchukulia mkopo wa kujenga, kuboresha au kununua nyumba nchini Tanzania, kanuni Namba 141 za mwaka 2024 zimeanza kazi tangu 8/3/24
Ukitaka heshima na sifa Africa wewe kufa tu uone.Wewe ni mzuri sana eti na unaweza kuwa na sifa za kuwa hata Rais wa USA ni kwa vile tu bado haujafa🤣🖐
Huwezi kua mtakatifu ungali hai, ndio maana ukifa utasifiwa nakuonekana ulikua mwema bila kujali ubaya wako, jenga historia nzuri ili wema wako ujieleze ili usifiwe kwa wema wako ulioufanya kipindi upo hai✍️
Mfano ukafa leo, unahistoria nzuri yeyote yakuifanya jamii yako iskusahau baada ya msiba wako? Unakipi kizuri cha kurithiwa na jamii baada ya kifo chako? Kama huna basi jua kuiona Mbingu sio vyepesi hata ukihudhuria novena na ibada kila saa utakua tu unamnafikia Muumba wako.
Congratulation my beloved friend,🥇🥇🔥🔥 you have done it with excellence, you success keeps to inspire the beggners🔥🔥🔥
Lorelei @Lorelei1946458
113 Followers 3K FollowingBrendan Gabriel @BrendanGab70465
53 Followers 296 FollowingHalima James @jameshalima67
203 Followers 122 FollowingKB @KIWANUKABENEDI5
5K Followers 5K Following Chairperson LUSSIOSA , Entrepreneur, Professional Accountant, Mentor and Business Man. DM👉+256708253600 for all clean cooking options.Lisa @lisa_martinez32
212 Followers 3K FollowingPhoenix Avery - Promo.. @91_crimson
3 Followers 103 Following 👑Unsigned Artist - Free Promotion 🎸Testimonials + Free Trials 🔥Instagram, Spotify, Youtube Try Your Luck for Free ➡️ https://t.co/4scnz62koUMELICK PHOCUS @melickphocus
8 Followers 92 FollowingBlack water @Bullet75063085
6K Followers 5K FollowingManfesto @pharm_festo
4K Followers 4K Following Pharmacist. Business idealist. Enterpreneur. Keep it low until it's permanent😎Magesa Biseko @Magesa_Biseko
77 Followers 743 FollowingSapience Raphael @RaphaelSapience
9 Followers 218 FollowingSIFAELI URIO @sifaeli_urio
59 Followers 210 Following Sifaeli E. Urio, RN. Studied Diploma at Ndolage Institute of Health Sciences on 2020, currently works in Mount Meru Referral Hospital Dialysis Technician.Embassy of Tanzania i.. @tzinbrussels
6K Followers 174 Following Embassy of the United Republic of Tanzania to the Kingdom of Belgium, Grand Duchy of Luxembourg and the Mission to the European Union and OACPSmusic Boss @MBoss56603
1K Followers 4K FollowingRichard Suszko @richard_suszko
4K Followers 5K Following Aka Triple Six one, Denver Colorado 303 rapper,song writer, own the copyrights too the song seizures were the cause of my death!violinist red @violinist_66430
219 Followers 1K Following Music is life. That’s why our hearts have beats🥁Edmond @EdmondTRL
3K Followers 1K Following HARD WORK with humility, RESPECT to all, a deep sense of DISCIPLINE, and commitment to SELF RELIANCE.Elkyna Elkyna @Elkynaolaola
2K Followers 4K Following MTB, ATS, Songwriter, and Artistry IG:Elkynaolaola https://t.co/V13EmF3QDOGlow Gold Media @glowgoldmedia
18K Followers 18K Following Music Producer, Audio Mixing and Mastering, Songwriter, Video Creator Contact me for your audio and video needs.Chafosa Simba @chafosasimba
23K Followers 21K Following Ndama Jeuri. Trust your power! Fear is strong than https://t.co/JzPA0qbIu4 noOne.. New &Used cars seller/car forhire/spare parts #AduiYakoSioAduiYangu Yanga and ManUtd fanK NORON K @KNORONK
3K Followers 1K Following If you can't inspire music, let music inspires you. Music Artist.johncalia @johncalia
23K Followers 25K Following PARALLEL LIES, the sequel to THE AWAKENING OF ARTEMIS, is a ⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️ success. 🚫politics 🚫DM #WritingCommunityaidan @aidanEzekia
170 Followers 356 FollowingSimone Bircher @BircherSim58375
33 Followers 5K FollowingHelen Odem @HelenO73932
39 Followers 5K FollowingCindy Donaldson @CindyDonal6927
75 Followers 3K FollowingFrida Burcin @burc_frid
35 Followers 5K FollowingNatalie_Green @NatalieGre25991
36 Followers 1K FollowingSharolyn Tauras @SharolynTa53829
42 Followers 5K FollowingHarper Bennett (Talen.. @TempoTrekker_21
197 Followers 2K Following 💎More Fans Agency (Free Trials) 🏆Free Plans available ! ❤️Spotify, Soundcloud, Instagram Choose a Plan ➡ https://t.co/1DWDyuuCX7Katie Clynes @ClyneKati
41 Followers 5K FollowingSara Rosales @rosales39275
97 Followers 3K FollowingRhia Bacher @BacherBach
38 Followers 5K FollowingKim @kim_peterson56
129 Followers 3K FollowingLovetta Moock @MoocLovett
54 Followers 5K FollowingRobbie @robbie_bauer_
181 Followers 3K FollowingLily-anne Vanweerd @vanwee_an
43 Followers 5K FollowingMarlene Duett @MarleneDue95704
54 Followers 5K FollowingCharles lukumai @CharlesLukuma
49 Followers 70 FollowingBrendan Gabriel @BrendanGab70465
53 Followers 296 FollowingImani Kajula @imani__kajula
4K Followers 239 Following Chief Executive Officer of Simba Sports Club🇹🇿Halima James @jameshalima67
203 Followers 122 FollowingNabii Jovin @NabiiJovin
18 Followers 131 Following Mungu amenipa kipawa cha kutamka, kuona, kusikia yale ambayo anaenda kuyatenda hapa dunianiAthumani Jasho Mwamvo.. @MwamvoiAJasho
167 Followers 295 Following Email; [email protected], CME,SST,Eng,Chemistry and Biology teacher . Businesses passionate. Born in Tanga, Tanzania.Saraphina Stanley @SaraphinaStan
84 Followers 68 Following Advocate of the High Court of Tanzania|Notary Public and Commissioner for Oath| Entrepreneur| Caterer| Born again ChristianBoniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface
18K Followers 2K Following Advocate | father | husband. HUMAN RIGHTS. Tanzania🇹🇿 Politics Review. Busokelo.Tanzania Digest @TanzaniaDigest
101K Followers 722 Following Your go-to source for concise updates and insightful analyses on Tanzania's latest news and economic trends. Exploring Tanzania's growth, one tweet at a time.Zanzibar Bureau of St.. @BureauZanzibar
2K Followers 1K Following ISO 9001: 2015 CERTIFIED Ukurasa rasmi ZBS Kwa ushauri au msaada piga namba +255-24-2232225 Maruhubi, Zanzibar, Tanzania. https://t.co/ACG7fU7rTb 1136, ZNZ.Serikalikazini @serikalikazini
6K Followers 124 Following Kazi inaendelea Tazama miradi ya maendeleo NchiniMkoa wa Songwe @SongweMkoa
2K Followers 114 Following Huu ni ukurasa rasmi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe This is an official page for Songwe Regional Commissioner's OfficeWakala ya Barabara za.. @TaruraTz
8K Followers 33 Following Ukurasa rasmi wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini - TARURA TANZANIA Barabara Bora Kwa Maendeleo EndelevuTume Huru ya Taifa ya.. @TumeUchaguziTZ
37K Followers 20 Following Kusimamia na Kuratibu Uendeshaji wa chaguzi kwa mujibu wa Sheria ili kulinda demokrasia kwa manufaa ya wananchi, vyama vya siasa na wagombea.jaguar 😺 @Jaguar_455
4K Followers 413 Following🐐 @MouMassomo
1K Followers 1K Following 😂 || Nothing serious || @simbascTanzania Die hard || @viatuLand || Ndevu nyingi || DM open for LadiesGibson @Gibson44178359
30K Followers 22K Following freedom fighter,equal rights,freedom of speech,expression, good readership, true patriotismJoel Ole Meitaya💧 @JoelyMeitaya
4K Followers 5K Following Proud Son of Maasai,Activist,Maasai Land Rights Advocate,CEO: @ReclaimMaasaiLandMovementBassirou Diomaye Faye @PR_Diomaye
206K Followers 12 Following Président de la République du Sénégal 🇸🇳Khadija Mwago @Khadija_Mwago
9K Followers 168 Following Mjumbe wa Baraza Kuu(CHADEMA)Mgombea Ubunge jimbo la Mbagala 2020Raphael Mheta @RaphaelMheta
32K Followers 13K FollowingTeacher 📖 @SirFerrary
4K Followers 994 Following i don’t judge, There’s always a two sides of a Coin.. but know this “In this world everything is a Lie” @SimbaSCTanzania & @psg_English #GEMINI ♊️Fetty Wakuache @_Fett37
16K Followers 844 Following Tabibu|Mshauri | Kungwi | connection watsap 0785823297 Telegram gusa link https://t.co/MAfcH1TbA9Jarvis Googoo @JarvisGoogoo
13K Followers 2K Following L’nu (Wetapeksi We'koqma'q, Tleyawi Kjipuktuk), Mi’kmaw educator, Indian Day School Survivor, runner, yogi, SMU/Dal Law alumnus, healthy eater, silly.Tubulu Lerug Sokoine .. @tubuluTLS20
2K Followers 926 Following The voice of the Ngorongoro (Maasai) people will be heard everywhere in the World. HRD|EHRD|HR|Activist #NomadicSon.Abdulkarim Juma @JumaAbdukarim
6K Followers 432 Following A forum of thought and perspectives designed to ignite human right and democrac # revolutionary activist for radical change in Tanzania. team #katibampya.Mwaura Robert @MwauraRobert2
6K Followers 5K Following An international enterprenuer,dealing in agriculture(plants,livestock,fisheries) manufacturing, logistics,warehousing, renewable energy,water,waste managementGwangway Ole yohani @gwangwayyohani
3K Followers 226 Following Investigative Journalist/ Freelance journalist/Digital storyteller/ 4 Times Winner of Excellence of Journalism Awards in Tanzania (EJAT)Deogratias Mahinyila @AdvMahinyila
5K Followers 622 Following Advocate of High Court| Notary Public and Commissioner for Oaths.Jenerali Ulimwengu @raiyajenerali
29K Followers 124 Following Official Twitter Page for Rai ya Jenerali Juzuu III, by Jenerali Ulimwengu. Launch Date - 6 Aug| Tweets are my own personal opinions| @jeneralionline hackedBob Chacha Wangwe @BobWangwe
24K Followers 576 Following 🇹🇿Lawyer|Human Rights Activist|Agent of change|Ambivert|||| Executive Director of Jukwaa la Katiba Tanzania (Tanzania Constitution Forum)Joseph Oleshangay @Oleshangay
9K Followers 1K Following Advocate for Human Rights, democracy, rule of good laws, indigenous rights. Weimar Human Rights Award Winner 2023. Proud son of the land of man/NgorongoroLucas E. Malembo @MalemboLE
31K Followers 712 Following Investors interested in Agribusiness, let's connect| Founder @MalemboFarm 🇹🇿🇰🇪l @AcademyFarms l Dar es Salaam - Yacht Club 🛥️ & Gymkhana Club Member 🏌️♂️AshaDii @AD_Abinallah
19K Followers 1K Following Working at the Intersection of Technology, Internet Governance, Data, Innovation and New MediaBonge La Afya @BongeLaAfya
37K Followers 948 Following I analyze, discuss, and write about Health | Dedicated to unveiling the art of caringNYANI MZEE @jwise017
59K Followers 469 Following Mkulima | Afisa Ubashiri | Babu | Katikati ya usiku nitaamka nikushukuru 🙏🏿 #VituVyaPeponiNoe_Wenc 💊 @Vet_doctor87
27K Followers 1K Following Just a Veterinarian with great Pen-game|Part time Poet | Coffee is addicted to me | I read too much |🇹🇿🇺🇸(---) Onesmo Mushi @EduTalkTz
21K Followers 1K Following EDUCATION | Social Justice | #SDGs 4 & 8 | Decolonizing | The PeopleMrs Mrusi @Mrs_Mrusi
53K Followers 2K Following One-Twitter Stop for Hijab /Abaya /Hijab Packages🎁|Educator|SalesAdmin| I inspire😍| @abaya_hijabtz | https://t.co/p2QK81sGiQJohnbest Mwahaja @JohnieZeBest
53K Followers 2K Following Procurement & Finance Person | Content Creator | #Upendo♥️ | Mtoto Wa Mama Johnie | #MrUnknownCode | Captain Ramos ©️Odo @NajjatOmar
44K Followers 2K Following @TheChanzo Journalist || Script Writer || Voice Over || Awards Winning Journalist.Very good is not enough when we have excellent .Hatuta nyamaza wala kupoa mpaka pale Azimio la Bunge la Mkataba huu wa kijambazi litakapofutwa na Bunge na zaidi serikali ya CCM kusitisha utekelezaji wa IGA haramu. Hatutafuti Mshindi tunalinda Raslimali zetu. Aluta Continua..
Huyu @IAMartin_ ndo maana alipat zero, huyu ndo mtetez wa cdm😉 wana safar ndefu aise
@Mwabuk2Boniface @HildaNewton21 Shida ni madhaifu hayo ya katiba yetu......
@Mwabuk2Boniface @HildaNewton21 Acheni kujichetua akili na jina la tume....kwani katiba hiyo hiyo inayotaja kua kutakua na rais wa JMT imemtaja jina? Bunge lipo sahihi kuiita jina lolote walitakalo maana ibara hiyohiyo haijataja jina ispokua imesema kutakua na tume ya taifa ya uchaguzi lkn haijaitaja jina..
Watumishi wa Umma/binafsi ambao wamechangia Kwa zaidi ya miezi 108 yaani miaka 9 Katika NSSF/PSSSF Sasa rukhsa kutumia michango yao kama dhamana ya kuchukulia mkopo wa kujenga, kuboresha au kununua nyumba nchini Tanzania, kanuni Namba 141 za mwaka 2024 zimeanza kazi tangu 8/3/24
Alichopost Makonda kwenye ukurasa wake baada ya kusema atawataja mabosi wa Mange Jumatatu yazua gumzo Isntagram Video kwenye comment
I wrote this 8 years ago tesla.com/blog/master-pl…
Ukitaka heshima na sifa Africa wewe kufa tu uone.Wewe ni mzuri sana eti na unaweza kuwa na sifa za kuwa hata Rais wa USA ni kwa vile tu bado haujafa🤣🖐
Congratulation my beloved friend,🥇🥇🔥🔥 you have done it with excellence, you success keeps to inspire the beggners🔥🔥🔥
Uteuzi ama utenguzi wa mamlaka hauhojiwi. Mhe. Rais ana haki, nguvu na mamlaka ya kuteua na kutengua kadri anavyotaka (hii dhana inaitwa ‘at the pleasure of the President!’) na ndiyo maana mtu akiteuliwa ama akitenguliwa huwa hakuna sababu zinatolewa. Sidhani kama tunajua…
Follow EDGE, the forefront of advanced tech solutions for defence and beyond, for the latest updates and insights. #TomorrowBeginsNow
Ndiyo kwanza nina siku moja tangu nitambulishwe, lakini watu tayari washaanza kunichafua. Nimewakosea nini? 🤔
Hili Goal la Stones sio goal sahih Ile angle ambayo tumeonyeshwa lazma tuona kuna namna stones Yuko onside lakini kiuhalisia ile ni Offside endapo wangetumia angle za checkline za uwanja...wametuonea..😢😭