Mimi sai siweziconvince dem anipende,,,Nguvu nimebakisha ni ya kubembeleza mtoto wangu akunywe uji
14
91
386
7K
0
@Kotsocha_ke Ni juu ata ukimconvince awezi kubali kukupenda.
@Kotsocha_ke @AfyaCentreCrew Mimi hata kukaribia wasichana niliacha
@Kotsocha_ke Tumia hio mtoto akikataa kunywa zi utamfinya mapua