HCompiler @HCompiler
ok Joined March 2013-
Tweets208
-
Followers268
-
Following1K
-
Likes86
@lifeofmshaba Siwez kuwa na mama kituko namna ile, sheeen
Samia ameleta njaa
@IAMartin_ @Wakazi Hahahhaha Jamaa unataka @Wakazi afungukw sio? 😁
@kisikisir Weka kwenye mchemsho wa nyama sahau kuhus gauti
@MariaSTsehai Follow back Shangazi I have been following you since day 1 I join twitter
@IAMartin_ @freemanmbowetz Mpaka leo kesi haijaiva tu au kuna bal la mkono linatafutwa
KESI YA BINTI KULAWITIWA, YUKO WAPI AFANDE⁉️
MAONI YANGU KUHUSU CIVIL DISOBEDIENCE. Sijamwelewa Mhe. Mbowe kwenye press leo aliposema “hatutaki kwenda kwenye Civil Disobedience” anamaanisha nini, haswa kwa kuzingatia nafasi yake kama kiongozi mkuu wa chama mbadala. Hauwezi kupambana na udhalimu wa TABAKA TAWALA pasipo kuwa na Civil Disobedience. Maandamano ya CHADEMA kote nchini yalionekana kama matembezi ya hisani (kwenye macho ya watawala) kwa sababu hayakuwa na Civil Disobedience. Kama nilivyowahi kusema awali, yalikuwa maandamano yasiyodisrupt social order kwa namna yoyote ile na hivyo mtawala hakuwa na sababu yoyote ya kusikiliza matakwa ya waandamanaji. Bila Civil Disobedience hamna chochote kinachomlazimisha mtawala kukaa mezani na nyie wala hamuwezi kubargain from position of power. Sana sana mtakuwa mnapewa maelekezo tu na kuyatii. Obedience ya umma ndio imetufikisha hapa tulipo, hatuna nguvu wala uwezo wa kushinikiza serikali kufanya chochote. Hata utekaji wa sekretarieti nzima ya CHADEMA pamoja na wanachama 500+ uliofanywa na polisi juzi ni matokeo ya hii obedience. Watawala hawana hofu kwa sababu wanajua wanaopambana nao hawana political leverage; there is no cost that you can impose on them ndio maana hawawasikilizi. Legal gymnastics can only take you so far, haswa kwenye taifa ambalo mtawala anateua na kuamua kila kitu kuhusu mahakama. Sheria za kipumbavu, matumizi ya hovyo, na maamuzi kandamizi yanafanywa kila kukicha kwa sababu watawala wanafahamu wazi kuwa umma ni obedient. Kwa uelewa wangu, ukishakuwa chama kinachojipambanua kama chama kinachopigania DEMOKRASIA huku kikianisha NGUVU YA UMMA kama msingi wake, then Civil Disobedience is not an option. Civil disobedience ni moral duty ya chama cha aina hii na viongozi wake hawana nafasi ya kucompromise kwa kusema “hatutaki kwenda huko.” Ukikubali kutii mamlaka, sheria, na maagizo haramu, maana yake wewe ni accomplice wa yule anayeyatoa. This complicit makes you a traitor of the social contract. Kwa hiyo Mheshimiwa @freemanmbowetz , default setting ya chama chako ni Civil Disobedience, huu ni wajibu sio option unayoichagua kwa kuamua. Wishing you the very best! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@IAMartin_ @SuluhuSamia @ummymwalimu Oohhh woooow Sasa ntapata usingiz wallah
Get well soon kamanda @TheRealJongwe najua mbele kweupe tuu Watalipia haya yote watendayo
@Tanganyikan Mwanamke mpumbav saana huyo, yaan anamchokoza mwamba then anachukua video ili kupata huruma za raia Sheeenz kabisa
Watawala wanasema wana uwezo wa kutumia dola vizuri ili kubak kwenye dola. Shame on you watawala
“Lini umewahi kuona CCM wamekamatwa na Polisi au kuzuiwa kufanya shughuli zao za kisiasa..”-; x.com/miss__yanga/st…
@eastafricatv Akili ya huyo mzee ndo sabab had sasa anakaa kijiwen Akipata kashata zake mbili na kijikombe cha kahawa anaona kajipata, kichwa cha hovyo saana
@IAMartin_ @freemanmbowetz @TunduALissu @SuluhuSamia The president's silence on sensitive matters clearly indicates that they are behind it. Misusing ignorant officers to oppress citizens is the work of a leader who lacks the wisdom to govern. President, accept criticism; you are just a human being.
✊🏽 Nice! Huu wimbo wa @JulianiKenya mtamu sana! #FreeOurYouth #GenZ🇹🇿 #Tanzania
Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo. Huyu ni afisa wa Jeshi la Polisi. Fatuma ndiye yule ‘afande’ aliagiza ‘JM’ abakwe na kulawitiwa. Kama umefanikiwa kutazama picha mjongeo binti akibakwa na kulawitiwa na mwishoni wanamuelekeza amuombe msamaha ‘afande’ ndiye huyu AFANDE. Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo ni msaidizi wa mkuu wa kituo cha polisi - Bunge (Dodoma). Ni afisa anayefahamika sana. ‘JM’ alikuwa mfanyakazi wake. ASP Fatuma Kigondo akahisi bwana wake (jina lake tunahifadhi kwa hatua za sasa) ana mahusiano na ‘JM’. Akaagiza atekwe. ASP Fatuma Kigondo anamiliki grocery na liquor store Dodoma. JM ni mmoja kati ya wafanyakazi katika moja kati ya grocery au bar za ASP Fatuma Kigondo. JM alikuwa anatoka kazini saa tano usiku, akavamiwa na pikipiki mbili, wakashuka watu watano wakiwa na visu mkononi. Wakamchukua na kuondoka naye. JM amebakwa na kulawitiwa usiku huo hadi kesho yake asubuhi. Video ile imerekodiwa asubuhi wakati wahuni hao wanamaliza kufanya uhalifu wao. Taarifa za awali zilisema ‘afande’ anayetajwa ni afisa wa JWTZ ambaye ana cheo cha ‘captain’. Ukweli ni kuwa, ni afisa wa POLISI mwenye cheo cha ASP. Kati ya hao wahusika wawili waliobaki ambao polisi walisema wanawatafuta, tunataka kumuona Afande ASP Fatuma Kigondo akikamatwa pia. Jeshi la Polisi, tunaendelea kuwasisitiza, wahalifu wote katika tukio hili, wakamatwe na wafikishwe mahakamani. Hatuwezi kuliacha jambo hili lipite. Brigedia Mtikila, MMM.
@munyamambogo Oouuggg Jesus, n mkoan gan huo na imetokea lin?
@IAMartin_ Wamevurugwa haswa, majukum yao wanaacha nyuma wanaingia Job descriptions za wengine
VardenNk @VardenNk
9 Followers 101 Following
Kenya Farrell @FarrellKen45624
127 Followers 4K Following
Daniela Green @DanielaGre30042
154 Followers 3K Following
Mr labay @Mr_labay
1K Followers 1K Following
Lameck Pure Honey🍯 @LameckJ94538046
34K Followers 30K Following Wanunuz wauzaj na wasambazaj wa asal mbichi🍯kutoka tabora Tz🇹🇿 nyuk wakubwa🍯wadogo🍯masega🍯nta tuko tabora Tz 🇹🇿 call & Wtsp +255764735899 +255629663010
Mr Mathew fixedgame @MrMathew
868 Followers 2K Following
The wonder one @filbert_magesa
1K Followers 2K Following ~think big~ simba sport club/liverpool/barcelona.
Yangwe Nyagiro @yangwe_nya7710
3K Followers 4K Following
Mathias MASTER 🥃 @shbnmathias304
1K Followers 6K Following
sEDu @Bilaly82258249
83 Followers 378 Following The more quieter you become the more you hear Don forget to follow BFoot
Kesta Munene meeme @KestaMeeme24543
29 Followers 304 Following
LUCIAN @luciantristan
5K Followers 7K Following Social Engineer|| Water Sanitation Expert|| Real life coaching|| Design & Modelling|| Motivation speaker|| side hustle|| Yanga || Painting & Drawing.
Mzee wa Bayern @BayernMzee
12K Followers 13K Following
Byenkya Richard @Byenk19
330 Followers 2K Following Capable architect with successful background in planning, directing and coordinating building activities
Kipala Makunza @sumuni_sim6641
263 Followers 298 Following
Mr Winning 💯 @AdebayoTim41862
680 Followers 3K Following
Gilbert @Gilbert19621599
12K Followers 12K Following
muhibdromedary @muhibdromedary
1K Followers 2K Following I deeply love me.. #self truckguy🚛 advertiser🛒 Chelsea fc&young African SC fan ⚽
Yusuf 🇹🇿 @sigmamale571
795 Followers 3K Following marine scientist/ Aquaculturist/ scuba diver/Assistant project officer #SOAHUB TZ.
UNIQUE REVOLUTION IND... @unique_tv39039
1K Followers 1K Following ENZI ZA MWALIMU vichekesho lazima ucheke😄😄😄 https://t.co/g08TUh2s7d
Mr dayo daily sure ga... @DayoMr67966
819 Followers 3K Following
Stallon andrea @AndreaStallon
11K Followers 4K Following
Exodus @Jamesdenga1
94 Followers 212 Following Manchester United, Real Madrid fan, We came from nothing to something
Mwakalicious.R @RachealObed5966
1 Followers 4 Following
C Mbecha @CMbecha
6K Followers 6K Following
CIPHERHAVEN SAFE @cipherhavensafe
11K Followers 11K Following Trusted crypto recovery experts, 5+ years helping investors reclaim lost assets. Integrity first, results driven
Anneth @AnnethMatei
87 Followers 189 Following
Saidi Jumaa @SaidiJumaa10
4K Followers 2K Following
Eliot Owen Ojambo @Taata_Darlene
2K Followers 1K Following Unapologetically Born Again l House of Eliot l @Watotochurchl Co-Founder @Nkumbauni_news l Servant of Godl l Team leader @CMWM_19 l Director @cmwmband l
Brayan Crawford @BrayanCrawford
7K Followers 6K Following Journalist | Social Media Influencer | News Updates
Tikoman @thinkwis
4K Followers 7K Following Passionate about politics, social impact and freedom of speech, Advocate for positive changes and open dialogue. #politics #socialimpact #freedomofspeech.
Kunta Kinte @ErNyoni
2K Followers 4K Following
GREYSON MWAKALINDILE @GREYSONMWAKALI1
2 Followers 34 Following Love the Lovers for Live and Haters for Challenge
Rae Mwaki @raemwaki
2 Followers 19 Following
Riziki Marandu @RizikiMara12707
35 Followers 516 Following
zily_media @zilymedia
133 Followers 497 Following CEO : zily_media. we shoot and create #tvshows #microDocumentary #musicVideo #familyPotraits #wedding #sendOff #ads
Mr Winning 💯 @AdebayoTim41862
680 Followers 3K Following
Spiritual Guidance �... @lukebryan_066
3K Followers 2K Following Tarot reading Holy Death ,tarot spirituality,anti-feminism.From the inside is the change of consciousness.
Kamala Dickson @ItsKamala
58K Followers 2K Following Former Chair SADC Youth Parliament @sayof_SADC Alumni Global Youth Ambassador @theirworld |Alumni @IRIGenDem | Former EAC Youth Ambassador | @eac_yap| SDGs
DVBZ Compilations @dvbz_comp
46 Followers 686 Following
Shaloom Mfinanga @099101joel
32 Followers 110 Following Art Arts & Culture Entertainment Movies R&B/Soul Music Hip-Hop/Rap Photography Celebrity News Movies
microdreamdecortz @microdreamdecor
13 Followers 112 Following Best decoration company.. we do wedding,cooparate event,birthday an more. Call us 0766919534
El jefe @Mattchief7
1K Followers 2K Following InFoRmAtIoN tEcHnOlOgIsT 💻🥸 || Iam Sticking to the script 💯 || Low 🔑|| Man UTD🔴 || Mwananchiiii 🟢🟡 || Dub Nation all day #Gsw
Flemos Tech Ltd @flex_0716
72 Followers 290 Following Electrical systems installation, maintenance and repair srevices
秋风再起 @qiufengzaiqi
9 Followers 46 Following
Imery Ngowi @ngowiimery6224
83 Followers 358 Following
waziri fisi @fisiwaziri
26 Followers 42 Following
Juma Msophe @MsopheJuma
20 Followers 52 Following
Juma Msophe @msophe_juma
23 Followers 44 Following
Waziri Fisi @WaziriFisi
14 Followers 60 Following
kimuly @KVidona
10 Followers 171 Following
Privatus Projest @ProjestPrivatus
25 Followers 94 Following
Jumamsofe @Jumamsofe1
12 Followers 70 Following
Nancy Hyera @Chef_nancy_
9 Followers 115 Following My dream: Chef, foodwriter, foodstylist, foodblog, TV host, Tv presenter and businesswoman.
Khadijah Bhalo @KhadijahBhalo
4 Followers 70 Following
Waziri Fisi @WaziriFisi141
140 Followers 841 Following
Carolina Mtangi @CarolinaMtangi
41 Followers 98 Following
Sammie smith @Sammies03774094
495 Followers 3K Following Opportunities don't happen, you create them✨
Christina Henderson @Christi47803693
84 Followers 323 Following Hello everyone, I am currently single
Tony like @miti_antony
203 Followers 2K Following
ISAYA MWAKABANGA @IMwakabanga
35 Followers 400 Following
Esther 🍓 @EstherTinley289
19 Followers 44 Following Раssiоnate temptress rеlеntlеsslу рursuing etеrnal рlеаsurе
PRINCE JERRY 😈 @WaziriwaNishati
3K Followers 3K Following I’m actually not funny. I’m just really mean and people think I am joking.😏
JaehOreoluwa @amreinhardore
292 Followers 1K Following A former banker|Optimist|Statistician|Realist| My tweets are my opinions.
Mr dayo daily sure ga... @DayoMr67966
819 Followers 3K Following
kibavu @Tariq21615
26 Followers 321 Following
Black_Panther @Black_Tourist
1K Followers 2K Following
Mathias MASTER 🥃 @shbnmathias304
1K Followers 6K Following
L.v.n welders @LiviniJame39065
65 Followers 408 Following
BIG_M @MawiraMaur73906
35 Followers 152 Following
Brian tea @briantea_tz09
303 Followers 1K Following Am the youngest musician from Tanzania 🇹🇿 Called @brian tea
Aloyce Mkonda @AloyceMkon77299
123 Followers 433 Following
Bright @Bright7080
183 Followers 743 Following































