Tunaishi kwemye nchi masikini, ukilipia gharama za matibabu (maana lazima zilipiwe) kwa wagonjwa wasio na pesa kwa siku, kila siku itakutoka sio chini ya laki. Mambo ya malipo hayamuhusu KABISA mtumishi wa afya, hakuna kati yetu aliesoma budgeting na finances, hakuna Daktari ..
Narudia tena na tena na watakataa. Ila pamoja na changamoto nyingi tulizonazo katika sekta ya afya hatukatai ni nyingi ila pia wahudumu wa sekta hiyo wengi hawana uwito wa kazi hiyo.. so inakua kote kote tafrani!
Na pia in Africa, We do not value human life at all. Its sad!
@RyderWaylon@wisdommathayo Ni hela ndogo kama ni mgonjwa mmoja, ila kwa siku unakutana na wagonjwa 10+ wanye shida ya uchumi na wapo kwenye critical condition. Do the maths namna ya kuwasaidia hawa watu.
Wazee kama una manzi ana mtoto wako au mpo wote hakikisha dogo awe anapelekwa clinic, hawa wadada hawaijui degedege, mtoto ameconvulse toka jana yeye haelewi kitu dah🥹. Hakikisha dogo akichemka kama huelewi mfikishe hospital🙏🏿 utakuja lalamika hana akili baadae
Mama Tibaijuka, Masibota! Hope all is well
Nafurahia kuona umekuwa mstari wa mbele kuongea na kushauri mambo mengi sana yenye manufaa likiwemo hili la URAIA PACHA
Ila nina swali moja, hivi vitu wakati wewe ukiwa active as kiongozi hukuwa unaona umuhimu wake au? Au back then the vision was shortsighted…
Pia, hao waliopo madarakani sasa wengine ni your peers, wengine ni wadogo zako (pengine uliwafundisha kazi wewe), kweli hamuyaonge huko pembeni na kueleweshana umuhimu wake.
Na sisi wengine tuna maono ya kujenga nchi yetu from elimu, exposure tuliyopata. Ila kuona wasomi hamfanyi kitu mkishika nyadhifa, alafu mkiachia ngazi tu ndio mnasema agenda kama zetu. Tujuze hii imekaaje…
Mambo ya kujadili katika mchakato wa Katiba mpya. HAKI YA URAIA PACHA. Inshallah. Kwa kuwa wewe unakazi salama hapa nchini unawanyima fursa waTanzania waliolazimika kuhemea ughaibuni kurithi hata makaburi ya wazazi wao? Hivi upeo wetu mbona finyu kiasi hiki? Ni roho mbaya,
Makampuni ya kimataifa yenye ofisi Nairobi 🇰🇪
1. Google LLC
2. Microsoft
3. IBM
4. Oracle
5. Cisco
6. SAP
7. General Electric
8. Citibank
9. Unilever
10. Coca-Cola
11. BCG
12. Deloitte
Yenye ofisi Dar Es Salaam 🇹🇿
1. Yanga
2.Simba
3. Efm
4. Wasafi
5. Uchawa
6. Kitambaa cheupe
@Ataijesa@pascaliito I think Iroh was supposed to attack them and kill the dragons, but saw the beauty in the dragons and covered for them. "The dragon of the west"
🚀 $MZONE SWAP IS NOW LIVE
You can now swap your $MZONE directly through the Mozone Mini App.
💠 Fast and simple swapping
💠 Integrated inside the Mozone ecosystem
💠 Built on BSC (BEP-20)
📲 How to swap:
1️⃣ Open the Mozone Mini App
2️⃣ Go to the Swap section
3️⃣ Enter
32K Followers 6K Following@YoungAfricansSc | @manutd | POLITICAL ANIMAL | DON'T TRUST MY SMILE | A WOUNDED BUFFALO | AM NOT LUCKY, AM BLESSED | I LOVE MYSELF | SELECTIVE SOCIAL #WANAZIHQ
264 Followers 482 Following🩺 | Tech enthusiast sharing tricks & updates to simplify your digital life 🚀 Follow for updates! #msangitech 📍 Iringa, Tanzania 🇹🇿
18K Followers 4K FollowingI simplify tech so you can monetize it. Turning tools into income, ideas into action. Solopreneur | Tech Content Creator|+255694579000
589K Followers 146 FollowingWhen not busy with (your favorite charity), I'm hanging with (your fave sexy celeb) doing a little (your favorite hobby). OMG! You and I have so much in common!
108K Followers 1K FollowingProfessor - Psychologist - Writer - Fangirl!
Out NOW! 'Supes Ain't Always Heroes' - a deep dive into TheBoysTV. Links to this and our Supernatural books below
224 Followers 538 Followingsociety bottom text with this treasure i summon the one who left it all behind & his overwhelming intensity seek not the frenzied flame baby got back
(He/Him)
39 Followers 272 Followingfull time gay black weeb. part time dumb lil slut. volunteer grumpy old troll who lives under the bridge. all kinds of fandoms n shit.
359 Followers 665 FollowingNot a troll|Kay flock is my king|YB supporter 🐐|Never been ratio'd💯|Block me=I OWN you|Arianator|Lakers fan|Brandon ingram and ja morant fan|Coi leray simp|