Idea gani ya biashara Tanzania ambayo kijana anaweza akafanya kwa mtaji mdogo wa sh 300K na akasonga mbele kimaisha, akalipa kodi, akala na kuishi kwa kujitegemea? Mwenye mawazo chanya yakugusa atapewa Hiyo 300K akafungue Hiyo Busines au aendeleze Kama anafanya Hiyo Business
MWISHO NI IJUMAA TUNAKABIDHI 👇🏾 Kwa mawazo haya Nani apewe 1 @loxodontal IBRA 2. Lusako 3 Bura online Trading 4. Mama wawili Pitia comments zao alafu rudi piga kura
Wanangu tumsapoti mwanetu kwa kumpigia kura, ni namba mbili hapo LUSAKO 🙏🏾 @Brice_phbrx @goligani @018Salama @1donaldinho @26Baiser @86_tronix @Hunterjay12345 @Sativa255 @Noedson_tz @jobles_bukujero @GastonJenifa @humbleQueen02 @Lizzie36021 @nyuki_malkia @JayleenRickie @_Jayreally47
@Baryanenbanzi @loxodontal Loxodontal IBRA unastaili bradha @loxodontal
@Baryanenbanzi @loxodontal Tukiacha longolongo na kuangalia tangible idea, @loxodontal ana idea nzito sana. Maisha uetu yanategemea chakula na huyu mtu ana idea ya kufanya tuishi kiafya. Nimempa kura kiroho safi. Fellow followers let's vote @loxodontal
@Baryanenbanzi @loxodontal Tumpigie kura @LusajoNdussa