@AhmedAbdallahTL Kwani broo huyu shem ,dah fundi wa movie ,asa najiuliza anakupikia sangapi, maana nahisi atakuwa anajifungia ndani tuu kuandaa kipindi
@AhmedAbdallahTL @11Kid_ Tunafata wasudan muhimbili kumbe msenge umewafungiaa ndan
@AhmedAbdallahTL @Jonathanmauka Kaka unaishi pazuri daah 🙌🙌🙌🙌
@AhmedAbdallahTL Tutafte hela wanangu vizur vipo 😒
@AhmedAbdallahTL Bro kumbe Msudan mmoja umemfungia ndani hata husemi!🤣🤣🤣🤣