Eng.TumboMJ @tumbo_mj
Bachelor of Engineering in Telecommunication system. Diploma in Electrical and Electronics Engineering. Entrepreneur. Mbeya, Tanzania Joined April 2022-
Tweets526
-
Followers121
-
Following840
-
Likes3K
Lakini kipindi unaona tangazo hili ndani ting'a ni muda ambao burudani ya muziki mzuri kutoka kwa Masta @AyTanzania zilionekana kwa wingi zaidi. Hivyo tutakubaliana ili kukumbuka na kuzisikia tena zile burudani zote za kipindi kile ni vizuri sote tukajumuika pale WareHouse kesho…
Jambo moja tukumbushane! Wale wenye uwezo ambao umeweka matumaini yako kwao kuwa watakuwa msaada kwako ukumbuke kuwa wapo wengi wanaowatazania kama wewe. Hivyo! Uwezekano wa wewe kusaidiwa na wao ni mdogo sana ikiwa wao hawajakuhitaji. Mungu pekee ndio Mtegemezi wa uhakika ✊🏽.
Kama una ndoto za kuzikwa kwenu ukifa Hakikisha Unajenga kwenu.... Walau Mahali pa kufikiaa Watu watakao Kusitiri .... Jenga kwenu
Sekta ya Uvuvi hususa Samaki aina ya Sangara ipo na fursa na changamoto nyingi je ungependa kujua changamoto zake? #KilimoNiAjira @AcademyFarms
Kaka mkubwa, mshukuru Mungu kwa kuwa umejipata. Na OMBA kwa Mungu na wengine wajipate kama wewe. 1. Hatuko sawa, usifikiri wanao kaa kwao wote wanapenda. Ujue kuna sababu nyuma yao. 2. Kuwa na Degree au Masters sio kigezo cha kuipata hiyo 200k. Elimu haikupi pesa ila inakupa…
Kama si wanawake basi wanaume wengi tungefurahi kuishi porini, bila hata sentano Tungeweza kuishi kwa kuwinda wanyama, kuvua samaki na kupumzika siku nzima Wanawake ndio nguvu kuu inayotusukuma wanaume kutafuta mali, utajiri, vyeo, mamlaka nk. W/ke naomb mpewe maua yenu mara 1
Generation yetu imefanya jambo moja kubwa na zuri sana, “Kuwakubali wengi kwa tofauti zao na kuwapa sauti”. Hilo hilo jambo ndo limekuwa baya kuliko maana sasa tuna watu wa hovyo sana na wana sauti za kuwahamasisha watoto uhovyo wao sababu ndio uhovyo uliowapa pesa 🤦🏽♂️
Hapa nyumbani kadri siku zinavyokwenda UNAFIKI siyo jambo mbaya tena,bali ili ufanikiwe kwenye mikakati yako ongeza na cheti cha #Unafiki Ndiyo Hpana?
Gari la ndoto zako, kuna mtu analiendesha baada ya kuamka Yule mwanamke wako asiye na muda, Kuna msela anamuona kero Yule ex wako mpiga vizinga, Kuna sehemu anamvumilia mwana asiyempa chochote Yule anayekuvimbia, Kuna sehemu na yeye wanampuuzia Dunia Haina mbabe wa kila mtu🙏
Maisha yanamengi ambayo hukuyapanga wala kuyatafuta lakini yana kupata yanaweza kuwa mabaya au mazuri, yanaweza kujenga au kubomoa maisha yako na wala hayakuwa mpango wako wala matokeo ya matendo yako au juhudi zako-lakini yanakupata, hakuna namna ya kuyaeleza ndio maisha yalivyo
HIKI kizazi bwana; mtu ana 26 years anajiita "Life Coach". Unajiita "Life Coach" na life lenyewe huna - kazi kutafsiri vitabu kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili na kuweka jina lako. Life Coaches wana 65 years and above - wameishi na kuona mengi. Tutolee ujinga hapa! Ebo!
Leo nimeona clip ya video ya Aug 5 mwaka 2017, ikimuonyesha Hayati MAGUFULI akiwataka RUGE MUTAHABA na PAUL MAKONDA kumaliza tofauti zao.. Video hii imenikumbusha ile battle ya watu wa4. yaani PAUL MAKONDA, JOSEPH GWAJIMA, NAPE NNAUYE na RUGE MUTAHABA. Turudi nyuma kidogo👇
HABARI YA KUSIKITISHA NA YENYE FUNZO KUBWA NDANI YAKE!!! Juzi nilihudhuria msiba wa rafiki yangu mmoja na mkewe. Yeye na mkewe walifariki kwa ajali ya gari, wameacha watoto wawili mmoja wa miaka kumi na mwingine wa miaka minne wakike, mkubwa ni wakiume. Sasa tukiwa kwenye👇
UVUMILIVU katika Maisha haya ni maneno yanayoishi nyakati zote kwangu,nayakumbuka maneno ya haya aliniambia Mama Malembo aliponitembelea shambani kwangu zaidi ya miaka 10 iliyopita.#KilimoNiAjira @AcademyFarms
Wazazi wa huyu binti wana faida sana.
Hivi unawezaje kutengeneza generational wealth? Ukapanda mbegu kwa watoto na wao wakaja kuzalisha kuliko wewe. Tukawa tuona zile: Since 1892. Wahindi na Warabu wanawezaje?
Mbwa wako akianza kukubwekea ujue Kuna mtu mwingine anamlisha vizuri zaidi.
Ukishaelewa Riziki Anatoa Mungu Na Anampa Amtakaye Umeyaelewa Maisha
Nakumbuka kipindi kile nilivyomaliza shule nilikuwa najisemea "Nikifata Cheti nitakuja na gari yangu". Siku yenyewe kidogo nikose hata nauli ya kufika shule😂😂😂
Jessie @jessie78rodrigu
165 Followers 3K Followinggrace @grace443334
5 Followers 4 FollowingMarwa Sina @MarwaSina1
469 Followers 2K Following mass communicator, football analyser I believe what I seeeddy_easy 01😼 @EdwardKazinza
127 Followers 368 Following //BSc. Laboratory science and technology //Young Africans S.C fans// //Music is my favorite 🎶 🎸 //.Bailey Freye @BaileyFrey57291
72 Followers 436 FollowingMOHHAMEDY SAID SEKO @jonas_bria19707
232 Followers 1K FollowingJoelle 🔞 @Joelle7612
2 Followers 476 Following Sеnsuous seduсtrеss relentlеss in the pursuit оf еcstasуMASTERMIND 🇩🇪 @Bitozi_theson
310 Followers 470 Following Arsenal fan, North london forever, Whatever the weather🔴⚪️Dwight @naghaez11922
466 Followers 5K Following See the world on the road, and get to know yourself on the way!Emiliano Winters @WintersEmi25238
117 Followers 3K Following🇪 🇸 🇮 🇷 �.. @EsirEid
16K Followers 17K Following Website n Mobile Apps Developer,Computer Scientist N a PURE #Mathematician¶© #JKUAT ALUMNI||#TeamArsenal¶ #HalaMadrid¶ ¶ #YANGAMsalika 🇹🇿 @EmmaDeAndrew2
1K Followers 1K Following @yangasc1935 |AGRONOMIST | MAFIGA AGR-BUSINESS | WAZALISHAJI | WAUZAJI WA MICHE YA MATUNDA | MICHE YA MBAO YA MUDA MFUPI Wasiliana nasi 0713 676448Delma Daise @DaiseDel
47 Followers 5K FollowingZahra Goodgine @goodgine59703
90 Followers 5K FollowingNatalie Gionet @GionNata
71 Followers 5K FollowingMarta Beuter @beuter_beu
67 Followers 5K FollowingJuno Boettcher @JuBoettch
46 Followers 5K FollowingGretchen Aken @AkenGretch92281
76 Followers 5K FollowingPhoebe Ifeanyi @PhoebeIfea25520
79 Followers 5K FollowingUrsula Devenuto @UDevenut
94 Followers 5K FollowingBarbar Tonrey @BarbarTonr59758
88 Followers 5K FollowingAmera Cardino @AmeraCardi
88 Followers 5K FollowingWinter Ryea @WinterR46420
62 Followers 5K FollowingEllie-rose Wilkinson @EllieroseW76860
93 Followers 5K FollowingEffie Skomo @EffieSkomo10589
82 Followers 5K FollowingLaura Esteves @esteves_la2454
73 Followers 5K FollowingAlline Lanfranco @AllinLanfran
68 Followers 5K FollowingAnnie Kreft @AnnieKreft86659
82 Followers 5K FollowingLexie Mehan @LexieMehan27808
67 Followers 5K FollowingBrandy Bashir @BashirBran73065
68 Followers 5K FollowingMira Crutchley @CrutchleyM91199
74 Followers 5K FollowingEliyah Thody @EliyThod
77 Followers 5K FollowingLuanna Gatesy @LGatesy40174
75 Followers 5K FollowingToshiko Zappile @ToshikoZ10022
89 Followers 5K FollowingMargarita Leonardo @MargaritaL37256
73 Followers 5K FollowingJorgie Bainum @bain_jor
60 Followers 5K FollowingMerrie Cureton @CuretonMer
73 Followers 5K FollowingHelena Lozier @hele_lozi
86 Followers 5K FollowingKate Saborido @KateSabori41808
72 Followers 5K FollowingVivienne Gately @GatVivien
45 Followers 5K FollowingMila Forthman @MForthman8042
96 Followers 5K FollowingDr. Thomas Nagaikaya .. @NagaikayaM
423 Followers 729 Following Agronomists, Psychologist and EnvironmentalistBonny Carone @BonnyCaron70613
48 Followers 5K FollowingWateen Hettrick @HettrickWa33812
64 Followers 5K FollowingEva Hattan @EvaHattan40303
77 Followers 5K FollowingRobyn Harlor @RobHarlo
62 Followers 5K FollowingMagerezaTanzania @MagerezaT
8K Followers 62 Following 📍 Official 'X' Account of Tanzania Prisons Service | Est. 1931 | P. O. BOX. 1176 Prisons HQ-Dodoma.National Defence Coll.. @Ndc_tz
11K Followers 37 Following An inter-service prestigious Government institution for training Senior Military Officers and Civilian Public Officials on Security and Strategy.Ofisi ya Waziri Mkuu .. @OWM_SBU
799 Followers 37 Following Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu Sera.Bunge na Uratibu S.L.P 980 DODOMA, Tanzania [email protected]Jeshi la Wananchi wa .. @jwtztaarifa
606 Followers 1 FollowingWIZARA YA ULINZI NA J.. @gcumod
14K Followers 6 Following Karibu katika ukurasa wa Twitter wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifagrace @grace443334
5 Followers 4 FollowingTotalEnergies @TotalEnergies
828K Followers 346 Following TotalEnergies is a multi-energy company that produces & markets energies on a global scale: oil & biofuels, natural gas & green gases, renewables & electricity.Zuweina Farah @Zuw508
5K Followers 1K Following Impact-driven • Purpose-led • Tech x Inclusion • Growth & Transformation. Art | Tech | Nature | Travel #ConnectingForGood @vodacomtzfoundNgasuma @ngasuma
3K Followers 2K Following Doctoral student @Harvard AI & Misinformation. MBA @Cambridge - Fintech. MPA@Harvard -Tech Policy. From AlkebulanEzekiel Ngitoria @maishatz
2K Followers 1K Following I have a fairly simple objective.I want to go to bed each night smarter than when I woke up. Lecturer at Wits. Spare time: Being a consilient Observer & (RT!=E)🇪 🇸 🇮 🇷 �.. @EsirEid
16K Followers 17K Following Website n Mobile Apps Developer,Computer Scientist N a PURE #Mathematician¶© #JKUAT ALUMNI||#TeamArsenal¶ #HalaMadrid¶ ¶ #YANGAMarwa Sina @MarwaSina1
469 Followers 2K Following mass communicator, football analyser I believe what I seeQueen Sendiga @queen_sendiga
3K Followers 11 Following Former Presidential Candidate 2020, RC Iringa 2021 - 2022, RC Rukwa 2022 - 2023 RC Manyara Uwajibikaji rafiki wa maendeleo 🇹🇿mwijaku @MwijakuBurton
42K Followers 109 Following Radio pressenter @clouds media group / African influencer on Social Economic Developent .ERNEST B. MAKULILO (E.. @EBMSCHOLARS
8K Followers 621 Following YouTuber, Published Author (11 books), Scholarship Consultant, Conflict Resolution Experteddy_easy 01😼 @EdwardKazinza
127 Followers 368 Following //BSc. Laboratory science and technology //Young Africans S.C fans// //Music is my favorite 🎶 🎸 //.Bailey Freye @BaileyFrey57291
72 Followers 436 FollowingUNICEF Tanzania @UNICEFTanzania
105K Followers 863 Following @UNICEF is the leading organization on children's rights in #Tanzania and the world.Tanzania High Commiss.. @TZEmbassyUK
6K Followers 250 Following The Official X Account of the High Commission of the United Republic of Tanzania to the United KingdomSA @SalumAwadh
17K Followers 2K Following #InvestmentBanker #Finance #Entrepreneur | Improving lives in key sectors | Board Chair @cpb_tanzania CEO @mwarongov | | Quran 33:21Abdulsamad Abdulrahim @abdulsamadz
8K Followers 121 Following Humble Loving Father | Philanthropist | Diplomat | Entrepreneur & Implementor who believes in turning big ideas into reality.Othman Masoud Othman @othmasoud
11K Followers 39 Following Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo TaifaBank of Tanzania @BankOfTanzania
53K Followers 1 Following Mission: Maintain Price Stability and Integrity of the Financial System for Inclusive Economic Growth.Lawrence Nyasebwa Maf.. @LNMafuru
14K Followers 892 Following Executive Secretary | President’s Office Planning Commission| TanzaniaMASTERMIND 🇩🇪 @Bitozi_theson
310 Followers 470 Following Arsenal fan, North london forever, Whatever the weather🔴⚪️Waziri Rajab Salum @WazirSalum
7K Followers 475 Following WorldNews / Agriculture/ Education /Diplomacy/ International Politics , Security & EconomySikilizaTogolani @SikilizaTogolan
54K Followers 0 Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!Tanzania Embassy | Ch.. @UbaloziChina
27K Followers 578 Following The official account of The Embassy of Tanzania to China.UVCCM TZ @uvccm_tz
39K Followers 37 Following Official account for the Youth League Arm of Tanzania's Rulling Party - CCM (The Revolutionary Party). Established: February 1, 1978. Enquiries: [email protected]Bonnah Ladislaus Kamo.. @BonnahKa
38K Followers 139 Following Mwakilishi Wa Wananchi Wa Jimbo la Segerea katika Bunge la 11 na 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015-2020,2020-2025. #TukutaneJimboniZayed Bakhresa @zayedbakhresa
38K Followers 229 FollowingMohammed Kawaida @ComradeKawaida
6K Followers 45 Following Official Twitter Account Of Chairperson Of CCM Youth League, Tanzania and Member of the Central Committee Of CCM (MCC)Ishengoma Irene @IshengomaIrene
18K Followers 2K Following I am a solution|Women Football Welfare #sokalawanawaketz 🇹🇿|#AmaniHuanziaNyumbani|Online Safe Space| I work @globalpeacetz | Maisha Plus 2nd runner 2016.Mponda the farmer🇹.. @MpondaSabinus
99K Followers 834 Following Smallholder farmer. Maize 🌽, farming, Mbinga Ruvuma.Ujuguhapa @Ujuguhapa
47K Followers 62 Following C.E.O : UJUGU ARENA { sina RAFIKI wa KUDUMU sina ADUI wa KUDUMU }Mathew Togolani Mndem.. @mathewmndeme
1K Followers 2K Following Learning, Researching, Consulting, & Teaching at UDSM || ICT, Information Systems, ICT Governance & Management, Organisational Change & Development Informatics.Uwekezaji Tanzania @UwekezajiTZ
36K Followers 1K Following This page highlights investment flairs in the resources and the people of Tanzania. #KaribuTanzania 🇹🇿TAHLISO OFFICIAL @TahlisoOfficial
681 Followers 71 Following TANZANIA HIGHER LEARNING INSTITUTION STUDENTS ORGANIZATION (TAHLISO)Tanzania Bound Buses @TBoundBuses
50K Followers 2K Following Tunakupa taarifa kuhusu njia zote za basi nchini. Powered by Bus Community (WANAZI)Ministry of Health @MOH_Kenya
477K Followers 743 Following Working towards building a healthy, productive and globally competitive nation.PharmaFactz @PharmaFactz
199K Followers 28 Following Master the essential, relevant facts about drugs and medicines.Tanzania Abroad TV @AbroadTanzania
63K Followers 117 Following Online TV based Abroad , we retrieve different quotes of different leaders no matter when stated ..email us on [email protected]Mark J. Mwandosya @MarkMwandosya
99K Followers 65K Following Mark James Mwandosya is a former Member of Parliament,former Minister in Tanzania and a retired Professor of Electrical Engineering University of Dar es SalaamAyoTV @ayotv_
121K Followers 62 Following Official Video Twitter page for @millardayo | We tell the best news and stories from East Africa | from the Most Subscribed to Journalist on YouTube in Africa.⁴⁴🦅 @444holywitch
37K Followers 2K Following | I don’t get disappointed anymore, i just be like 'aw it happened again, ok' | 'As i healed myself, i can heal others'| 33 Life Path| I am A Good Witch|AmosiNyanda @NyandaAmosi
66K Followers 642 Following I Left My 9-5 Office For Lunch And NEVER returned…NOW Writing Copy for a Living!Gillsant v7.5 @GillsaInt
165K Followers 5K Following I help people start and grow business online. I teach 21st Century Digital Skills. @swahilidigital founder. Co founder @punguzoapp Fill Form 👇🏾Good Morning Kipepe Neno hili litufundishe kumshukuru Mungu kwa mafanikio ya wengine uku tukisubiri na sisi baraka za Mungu kwa wakati wetu. MUHUBIRI 9:11 “Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani,…
@Nunume3 Uchaguzi ujao tuhakikishe wote tunashiriki katika mchakato wa kupiga kura
Haijalishi wataongea nini kuhusu wewe, ila kuwa busy na mambo yako, siku hizi mafanikio yako ndiyo heshima yako. Ni vigumu mtu kukuzingatia kama huna kitu. Binadamu tumekuwa wabinafsi mno, hadi uwe na kitu ndo unaheshimika, hivyo asubuhi hii pambana uwezavyo. GOOD MORNING:• ❤️
Dunia haina huruma na m/me maskini Ulimwengu hauna huruma na m/me maskini Wanawake hawana huruma na m/me maskini Jamii haina huruma na m/me maskini M/me, adui yako #1 ukiwa hai ni umaskini Fanya kila liwezekanalo uukwepe umaskini;lkn Usishikishwe ukuta Usiue Usiibe Usiende Jela
@iamcleopatricia Khaba ndo kazi yake.. Wanawake sio guarantee unamwambia magumu yako anaend nje anadanganywa kidgo tu anakutupa wewenna magumu yako
@iamcleopatricia Mwanamke akishajua magumu unayopitia anajaa hofu anakimbia ili asikumbwe na athari za magumu hayo.
@iamcleopatricia dah mm pia ni muhanga wa hicho kitu but kwa mm, nakua mgumu kusema sababu ya ninavyo mjua mwenza wangu. kwa kifupi tunaepuka DHARAU, KEJELI na KUVUNJIWA HESHIMA siku za mbeleni. ...nasemea tu.
Jema likubalike kuwa jema hata kama limefanywa na mtu ambaye upendi mambo yake. @AcademyFarms
Jitahidi kumvumilia na kumrekebisha mpenzi wako, Pesa zinatafutwa ila kumpata mtu sahihi ni ngumu sana, Ila ikiwa ni Kucheat, Hata mimi sikushauri muache aende tu.
Tujifunze kuheshimu mazingira na wakati, Ukifika mahali ukipewa mihogo, Usiulizie Chapati.
Kenya,mpaka mkaa unauzwa kwa mfumo wa kg. @AcademyFarms
@Rydx_017 @__abdulazack @athanas_pius @babalao__ @JayleenRickie @MissChelsea1221 @kabigwa_78 @kapeto98 Jamaaa anapenda sana ubwabwa maharage😁😁
@datius_tz Aje huku usinge ajifunze kulima mpunga au tumbaku atatoboa tu😂
@datius_tz Asubiri nafasi za jeshi zitoke akaingie huko jeketii asaidie taifa ulinzi shirikishi.
Mwaka 2009 niliacha kazi kwa hiyari, nikajenga huu "mjengo" na kuanza maisha mapya ya kujitegemea... niliishi off grid, mwanzo ilikua chumba jiko na bafu, baadae nikaongeza chumba na bafu so chumba cha mwanzo kikawa sebule. Niliishi kwenye hii nyumba hadi 2019. Bado ipo.
Naam Omba kwa Imani Kisha tafuta jambo la kufanya sala ziambatane na kazi. Maombi yashikamanishwe na kazi. @AcademyFarms
Tunapitia maisha ya fedhea na aibu sana kipindi tunajitafuta. Ukifanikiwa usiache kufurahi na kujipongeza kadri uwezavyo.
Sisi tuliotokea katika umaskini kuna stage ya mafanikio jamii na hata waliotuzunguka walishatuwekea kama limit! Ukivuka tu limit ya expectations zao basi unaingia katika cycle ya chuki zao. Watatafuta sababu za kuchukia tu kwa sababu umevuka limit ulowekewa na standards
@TMnyama4_ We cant generalize how important GPA is. However is some circumstances 1. The higher the GPA above 3.5 and Above 3.8 the greater the chance to apply any work starting from academic works and soon. 2. The higher the GPA the greater the chance to get Masters admission and Sponsors