Zed @Zed_Mnyama
Mo Succes 2025🙏 Fan @Yanga Sc & Man United & @real madrid Ndaki.co.tz Mwanza, Tanzania Joined October 2021-
Tweets20K
-
Followers4K
-
Following3K
-
Likes44K
MasterMind Kwenye moja na mbili. Another plate on the table. Yes, ni Air Tanzania. Mabadilishano ya huduma kwa miaka miwili. Tutaipeleka Airt Tanzania mbali sana
Ukiwa na mshahara wa 400k huwezi ku-save kitu. Haya, yaishe sasa! Mmeshinda! 🤛🏾💪🏾🤷🏾♂️
Hili ni wazo zuri. Binafsi NALIUNGA MKONO SIKU ZOTE! Kama kuna kitu ningependa kuona kinabadilika kwenye KATIBA yetu basi ni hicho. Siyo kunyang’anya madaraka ya Rais lakini kuboresha kwa kutanua wigo wa demokrasia kwa wananchi kupitia BUNGE kushiriki zoezi la kupata viongozi na…

Anichafue na kunidhalilisha public halafu atake yaishe private?
Angeomba msamaha public, ningemsamehe public.
Wanaume hawapaswi kuomba omba pesa ya kula kwa wanaume wenzao!
Njoo DM
Tatizo watu siyo waaminifu. Huruma ilifilisi duka! Msaada wangu ni kukubali apewe mzigo bila kutoa advance, Auze kwanza kisha alete hela! Watu wa siku hizi siyo waaminifu, usiposhika dhamana yake hutokuta duka wala mtu…atajiongeza asogee mbele! Badala asubiri faida yake ya…

Usipopata teuzi unapata kingine. Acha dharau kwa kadar za MwenyeziMungu. Nilipopata mimi teuzi kuna wengine hawakupata, pengine leo wamepata. Kila mmoja wetu anapata kwa wakati wake na kwa namna yake.

Sure! Ila Mo alikuwa ana thamini sana utu wangu, sijui alipatwa na nini tu siku hiyo 🤷🏾♂️! Kila mtu alishangaa. Nilipokea simu nyingi sana watu wakishangaa kitendo kile, wengine watu wake wa karibu sana na hata ndugu zake. Na ndiyo maana alifuta ile tweet haraka.

Weka sawa jambo moja kichwani mwako. Sijitetei hapa, na wala sina shida wala sababu ya kujitetea! Nijitetee kwako ili nipate nini sasa? Unikubali wewe? Usijipe mamlaka makubwa usiyonayo. Hapa tuko kibarazani tunapiga soga tu tunapitisha siku! Ugali ukiiva tunaenda kula. Giza…

Siku zote namsifia Rais, kwangu huo ni uzalendo wa kwanza. Japokuwa haiondoi uwezo na nafasi yangu ya kumshauri na kuomba miradi kwa ajili ya nyumbani kwetu - na huwa naomba na ninapewa. Aidha, haiondoi uwezo na nafasi yangu ya kukosoa na kusimamia serikali. Lakini wakati wote…

Kwa nini elimu iwe yangu halafu upate mashaka wewe? Kwani wewe si una elimu yako? Si upate mashaka na yako, yangu niachie mwenyewe!
Kwa nini elimu iwe yangu halafu upate mashaka wewe? Kwani wewe si una elimu yako? Si upate mashaka na yako, yangu niachie mwenyewe!
Ahsante. I was groomed for this.
Ntaandika kidogo uzoefu wangu, Pengine ukasaidia watu wawili watatu!
Ntaandika kidogo uzoefu wangu, Pengine ukasaidia watu wawili watatu!
Nikipata teuzi siyo mbaya. Teuzi ni kitu kizuri kwa mwanasiasa anayesaka nafasi ya kushiriki kuongoza nchi. Ushauri wangu kwako na wengine wote: Ukiwa hai usiache kutamani, kujaribu, kuthubutu, kupigania vitu vizuri kwenye maisha. Maisha hayana Maana pasipo kutamani na…

Una kichwa cha kujadili serious issues? Toa mchango wako sasa kwenye Mfumo wa utawala wa timu yetu ya Simba ama Mfumo wa utawala wa nchi, Katiba mpya etc. Ama Njoo tujadili sustainability issues za nchi - mazingira, Ukosefu wa ajira, usalama wa chakula; ama technological…

Binafsi ningependa. Sema wengi hawapendi na sheria hairuhusu
The mandevu @ze_mandevu
262K Followers 8K Following || Arsenal ||Content Creator || Compatriot || Mtani ||𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥�.. @Labella_Mafia95
122K Followers 3K Following Techpreneur || Inspire Centre || Funy with Friends || Weekend Vibes || Positive Vibes || Life Adventure || Making Memories || Hustle HardKAPETO🇹🇿 @kapeto98
113K Followers 4K Following Insurance | Interested With Investment | Raia Mwema | @Absgroup_tz @KapetoMall | AlhamdullahZee La Nyeti @OriginoZee17
224K Followers 7K Following Truck Driver|Professional driver|Forklift Operator|Terminal Tractor Operator|Funny Man| @Arsenal @FCBarcelona @SimbaSC FanMIRIAM💜 @MiriamMkanaka
361K Followers 1K Following MIMI💜, A Writer, Inspirational speaker , God first, Isiah 60:22, Legal advisor, Instagram @MiriamMkanaka, I love @Arsenal Founder of @MaabaraYaSheriaJayleen 💞 @JayleenRickie
187K Followers 7K Following G.O.E🙏...| Life Therapist | _Live_Love_laugh_ For Cakes🎂 visit @leenbites_tzEddo @Eddo142
130K Followers 10K Following #Justsmile / once i was a superstar😎/ King of Toronto Tabora 1800'sMiss Chelsea1221 @MissChelsea1221
118K Followers 5K Following PR &Marketing By Pro/#NAUZA NGUO ZA MICHEZO⚽️📱For Business 0714336827 #KUONA Bidhaa Plz #BONYEZA neno #MEDIA Upande wa #KULIA hapo chini👇⬇️👇Karibuni❤️Mussa Baba lao 🇹�.. @MussaBabaleo2
14K Followers 5K Following Turn on my notifications 🔔 follow me Ifb Asap @Yangafc @manUtdJames Munisi @NjiwaFLow
170K Followers 28K Following Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |#SimuZaNjiwa#Essay help , #Homewo.. @Essay_Assigned
32K Followers 7K Following The best and reliable #homeworkhelp , #Assignmenthelp, #Essay help, #Onlineclasshelp . what's app me +1 (629) 237-5579 or email [email protected]shamy kajol 💃🏽 @AllyKajol
73K Followers 4K Following A sister & a friend❤️ /I believe in Allah 🙏🏽/Simba & Arsenal_fun 🥰my life is not perfect but I thankful for what I have.🥂Magnol @JarvisFtbalista
132 Followers 988 FollowingBrash J.M @BrashJM
2K Followers 6K FollowingAdelick Andrea @AdelickAnd93213
366 Followers 1K FollowingAidan Benly @AidanBenly8353
6 Followers 104 Followingheisram heisram✍️ @jumahamiss51198
120 Followers 773 Followingshadrack george 2012 @YakuzaW63536
41 Followers 391 FollowingShafii Milambo @MilamboSha87403
0 Followers 19 FollowingJohn Katoto @katotojohn9
23 Followers 114 FollowingNelson Ayo @NelsonAyo646908
38 Followers 139 FollowingKadabra @FeedsGlobal
492 Followers 1K Following Just for fun and hang around with friends and familyWORLD MUSIC #Goodmusi.. @Chrisblay1234
3K Followers 2K Following I love good music Sarkodie & Wiyala fan till I dieRita Hughes @RitaH73005
43 Followers 50 Followinggazulo @boiezzey
368 Followers 697 FollowingTransfers 24/7 @24_Transfers
122 Followers 61 Following 📝 Football & Transfer News 24 hours a day | #HIHFNgelewa Ngole @ngelewa60387
17 Followers 62 Following• King ™️. @IAmSilayo
6K Followers 2K Following Blessed | ICT | Ghost In A Machine | Financial Market Analyst | Change Maker | Silayo Inv | Kuforce Master 🔥serengeti 2014🇮�.. @serengeti_14
844 Followers 697 Following @ Manchester United||Simba sc🦁|| 🏋️♂️🏊♂️🚴♂️♥️ Fabrication skillsSquîd_Man 🇹🇿 @cornel_evance
10K Followers 8K Following #Mvuvi: SEA NEVER DRY! Football team|| @YoungAfricansSc ||Brian Geophrey @BrianGeoph14714
32 Followers 57 FollowingKev Kipkorir @Therealkipkorir
315 Followers 736 Following Football/ music/ Entrepreneur/ Car enthusiasticCelina cellow @CelinaCellow
106 Followers 599 Following@graphanezdesigner�.. @JONSON_GRAPHICS
111 Followers 425 Following graphics design || content creator || motion graphics ❤️GOD IS HOPE 💐 my story is everyone story 🤝MZEE WA BUSARA✍️�.. @Yksongjr2000
3K Followers 4K Following 👁Content creator, inspiration talk, and bussness advisor PMU VISION🙏 Big Fancy of @simba @chelsea @Barcelona👁✊Mrforest# @PeterHamis59415
603 Followers 2K Following fan of @simba sport club,& @Manchester City Fc💙𝗔𝗹𝗲✪ @iamallennm
6K Followers 1K Following GOD FIRST @FCbarcelona @Arsenal @simbasctanzania |❁Wallpaper,memes,TECH| LIONEL MESSI 𝚏𝚊𝚗| more Love less egoBeatus Matias @BeatusMati34289
1K Followers 2K FollowingHassan Ndalama @NdalamaHassan
470 Followers 815 Following Business,swimming,soccer,Manchester United,SimbaNguesso🇬🇷 @nguesso16
4K Followers 4K Following Basketballer 🏀Basketball analyst/storyteller/writer 🏀/HRM🧔athumani shekibula @AthumaniKa94037
416 Followers 505 Following simba sc 🇹🇿fans . muuza matunda viungo na mboga mboga .Litmus💙 @LitmusBluee
436 Followers 485 Following Jesus Is Lord || We rise by lifting others|| Humour/memes/Life/Experiences|| Positive Vibes Only.Nobody🇹🇿 @ThatBoyGe
576 Followers 575 Following Banker | Digital Finance Expert | Farmer 🌱 Passionate about finance, tech, and sustainable agriculture. Fintech innovator driving positive change.Lenin.L.Msimbano @l_msimbano
1K Followers 1K Following Jenga Afya yako kwanza Kwa kutumia Virutubisho lishe 🍉🍉🍓🍇🫐🍌🥝🥒🍎.Zee la Vyeti (PhD) @babalao__
479K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 ✪Influencer ✪ Content Creator ✪ Memelord✪ ✪ Chelsea Fan ✪The mandevu @ze_mandevu
262K Followers 8K Following || Arsenal ||Content Creator || Compatriot || Mtani ||Habari Digital @HabariDigital_
173K Followers 2K Following Kwa Habari, Burudani na Matukio, Kitaifa na Kimataifa, Saa Ishirini na Nne, Siku Saba za Wiki.Fumbo Khan @fumbokhanJr
286K Followers 1K Following funny tweet// Man United and Simba Sport|| forum of thought|| fumbokhan on Instagram𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥�.. @Labella_Mafia95
122K Followers 3K Following Techpreneur || Inspire Centre || Funy with Friends || Weekend Vibes || Positive Vibes || Life Adventure || Making Memories || Hustle HardKIRIKUU✏️ @Kirikuu20
248K Followers 2K Following Graphics Designer &mr. AI //My posts are real and they’re spectacular//cartoonist// If you’re funnier than me,I will block you.Lubasha Jr @MarekaMalili
621K Followers 2K Following |Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|Spana & V.A.R Movemen.. @spana_Konki
294K Followers 1K Following Certified Spanaz & V.A.R 🔧 Spana Headquarters🏢. Spana & V.A.R Compilation. Ni-Tag penye Spana/V.A.R. JUMUIYA YA WAPIGA SPANAAdui Wa Yanga @Aduiwayanga
177K Followers 376 Following MATANGAZO KWA BEI YA PUNGUZO NJOO DM Die fan for @SimbaSCTanzania and @ChelseaFC Gracias💕💕💕SANUKAnaCHAPO @chapo255
401K Followers 2K Following | Storyteller | Owner @usedpointtz | SON OF BONGO FLEVA | THE WALKING MEDIA | Binamu wa BARAKA MAVIATU | #WaleviWaileBar |KAPETO🇹🇿 @kapeto98
113K Followers 4K Following Insurance | Interested With Investment | Raia Mwema | @Absgroup_tz @KapetoMall | AlhamdullahZee La Nyeti @OriginoZee17
224K Followers 7K Following Truck Driver|Professional driver|Forklift Operator|Terminal Tractor Operator|Funny Man| @Arsenal @FCBarcelona @SimbaSC FanMIRIAM💜 @MiriamMkanaka
361K Followers 1K Following MIMI💜, A Writer, Inspirational speaker , God first, Isiah 60:22, Legal advisor, Instagram @MiriamMkanaka, I love @Arsenal Founder of @MaabaraYaSheriaadamlutta @adamlutta
209K Followers 1K FollowingMs Bee🌹 @iamcleopatricia
152K Followers 12K Following CEO @slayyingoutfit @MsB_honey01| BUSINESS WOMAN| HONEY DEALER 🍯|0752-872612KhalidChukuchuku93�.. @Khalidchukuchuk
274K Followers 3K Following Football Correspondent , Son of Ligi Kuu ⚽ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , Ambassador @SifexAirCargo @kmcfc_official MCOJayleen 💞 @JayleenRickie
187K Followers 7K Following G.O.E🙏...| Life Therapist | _Live_Love_laugh_ For Cakes🎂 visit @leenbites_tz#NIPENI_MAUA_YANGU�.. @Roma_Mkatoliki
1.1M Followers 149 Following Rapper/Songwriter/Best Hip Hop Artist 2012 and Best Hip Hop Song(MATHEMATICS)2012, ACTIVIST🎤Magnol @JarvisFtbalista
132 Followers 988 FollowingMarcelotwelve @MarceloM12
13.0M Followers 433 Following Don't ask me about my tattoos! Only GOD Can Judge Me 💂🏾💯 1988 Rio De JaneiroIker Casillas @IkerCasillas
10.1M Followers 1K Following Y como no sabía que era imposible, lo hizo. @1KFutbolClub ⚽️@sportboosthub 🚀 Now @Fun_RealMadrid & @LaLiga Icon. Former @realmadrid, @sefutbol and @fcporto.Luka Modrić @lukamodric10
5.5M Followers 5 Following Real Madrid player. Croatia national team captain. #TheBestThingsNeverComeEasyCrown Media (Africa) @CrownMediaEN
2K Followers 2 Following This is Official Crown Media English page. Follow our Swahili page (@CrownMediaTZ) #HapaNiNyumbaniCrown Media @CrownMediaTZ
14K Followers 8 Following Karibu kwenye kurasa rasmi ya Crown Media | Crown TV & Crown FM (English: @CrownMediaEN) #HapaNiNyumbaniTanzanian President @PUR_TZ
2K Followers 2 Following Official account for the Presidency of the United Republic of TanzaniaTAIFA STARS @TaifaStars_
53K Followers 17 Following Official Twitter Account for Tanzania Football National team ⚽️Cyancute ⭐ @Cyancuty1_
127K Followers 690 Following ♻️Influence Content Creator & Social Media Promo Matangazo Dm @CyancutyTz main Account Fan Club @SimbaScTanzania🔱 Found CEO #SisiKitaaNawana On Space 🔥BIZNESS @Izzo_bizness
128K Followers 604 Following Recording Artist | Songwriter| Actor | Bizness All Day(B.A.D)| Izzo Bizness Brands| Hustler 💪🏿Christina shusho @ShushoChristina
57K Followers 11K Following Gospel Artist | Song writer | Host: Hekima za Bitina | CEO-Relax | Founder- The dreamers centre |Balozi wa Mazingira 🇹🇿hamza Lule @hamzaalbhanj
6K Followers 926 Following CEO at Kukeke Gang , CEO at Corporate Gang, CEO at Local Miyeyusho Sana (L.M.S)TANESCO @tanescoyetutz
139K Followers 7 Following Welcome to the official page of TANESCO Tanzania | Karibu katika ukurasa rasmi wa TANESCO TanzaniaJulia Stuart @JuliaStuart_SA
64K Followers 2K Following Presenter @premierleague Instagram: julia_stuartMr Health💊💉 @Mkunga_Og
58K Followers 1K Following Midwife || A nutritionist || A Counselor || Psychological therapy || Sexual health & Reproductive expert. 🧠Swahili Kid @dvoice_gini
163 Followers 9 Following Musician Signed Under @wcb_wasafi Record Label click 👇 To Get #SwahiliKid AlbumSwahili Kid @itsdvoice
938 Followers 5 Following Musician Signed Under @wcbwasafi_ Record Label Click 👇🏼 To Get #SwahiliKid AlbumCarlo Ancelotti @MrAncelotti
3.8M Followers 23 Followinglinda__caicedo11 @Linda__caicedo
26K Followers 6 Following Jugadora @realmadridfem Atleta: @adidasco ||| @ciscoterreros Contacto 👇🏾👇🏾 https://t.co/GowdZmChBeReal Madrid C.F. 🇬.. @realmadriden
17.6M Followers 63 Following ⚽️ Official account of Real Madrid C.F. 🏆@realmadrid: 🇪🇸. @realmadridfra: 🇫🇷. @realmadridarab: العربية. @realmadridjapan: 🇯🇵. @realmadridpt: 🇧🇷🇵🇹Jude Bellingham @BellinghamJude
2.0M Followers 260 Following Footballer For Real Madrid🤍 Adidas Athlete⚽️Instagram: judebellingham - #JB22 [email protected]MR BEN @Eric__Bernard
437K Followers 5K Following Proud To Be Tanzanian, TANZANIA KWANZA, Retweets Are Not Endorsements, Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.Kennedy Musonda Jr @keddomuzo
9K Followers 31 Following Official Twitter Profile For Kennedy Musonda🇿🇲 @yangasc1935 🇹🇿Novatus Dismas Mirosh.. @novatus_40
3K Followers 17 Following Tanzania Football International Player @Tanfootball, Best Upcomming Player VPL 2019/2020, Player of @FCShakhtarFC SHAKHTAR ENGLISH @FCShakhtar_eng
64K Followers 116 Following 🧡 The official #Shakhtar Twitter page in English! 🇺🇦 Ukrainian @FCShakhtar // 🇧🇷 Português @shakhtar_brasilRosa_ree @rosa_ree1
9K Followers 121 Following 🇹🇿Tanzanian🇹🇿 GODDESS👑 Bookings 📞: +255714604974 🇹🇿 STREAM/DOWNLOAD #GODDESSTHEALBUMBeatus Matias @BeatusMati34289
1K Followers 2K FollowingGreat thinker 🧠 @wajumbetz
682 Followers 3K Following medical professional🥼 , studed at @muhasso,football lover ,football fan of @simbascTanzania🦁and @mancity💙 #let's talk about football ⚽️Hassan Ndalama @NdalamaHassan
470 Followers 815 Following Business,swimming,soccer,Manchester United,SimbaNguesso🇬🇷 @nguesso16
4K Followers 4K Following Basketballer 🏀Basketball analyst/storyteller/writer 🏀/HRM🧔Mrforest# @PeterHamis59415
603 Followers 2K Following fan of @simba sport club,& @Manchester City Fc💙𝗔𝗹𝗲✪ @iamallennm
6K Followers 1K Following GOD FIRST @FCbarcelona @Arsenal @simbasctanzania |❁Wallpaper,memes,TECH| LIONEL MESSI 𝚏𝚊𝚗| more Love less egoMZEE WA BUSARA✍️�.. @Yksongjr2000
3K Followers 4K Following 👁Content creator, inspiration talk, and bussness advisor PMU VISION🙏 Big Fancy of @simba @chelsea @Barcelona👁✊Elan_tracey ✨ @elantracey
77K Followers 9K Following Ask me anything about Insurance| Fashion Designer | Engineer | Sad Chelsea fan 😞Luqman Kisokora @LuqmanZuberi
1K Followers 2K Following A writer ; Interested in | History | Sports | Health | Stories | Science | Technology | Movies |Nobody🇹🇿 @ThatBoyGe
576 Followers 575 Following Banker | Digital Finance Expert | Farmer 🌱 Passionate about finance, tech, and sustainable agriculture. Fintech innovator driving positive change.Litmus💙 @LitmusBluee
436 Followers 485 Following Jesus Is Lord || We rise by lifting others|| Humour/memes/Life/Experiences|| Positive Vibes Only.athumani shekibula @AthumaniKa94037
416 Followers 505 Following simba sc 🇹🇿fans . muuza matunda viungo na mboga mboga .MAIPAMBO JR @maipambomteta
3K Followers 4K Following Track driver wa kimataifa,nchi yoyote naenda,kama unagari yako tuyajenge sasa😛Kama Wewe Ni Mwanaume Na Hujaoa Tafadhali Usioe Mpaka Ujue Kutofautisha Mwanamke Wa Kuoa Na Mwanamke Wa Mapambo, Usiwape Tabu Watoto Baadae, Sio Kila Mwanamke Ni Wa Kuoa Na Sio Kila Mwanamke Anafaa Kuwa Mama…….✍🏽
MasterMind Kwenye moja na mbili. Another plate on the table. Yes, ni Air Tanzania. Mabadilishano ya huduma kwa miaka miwili. Tutaipeleka Airt Tanzania mbali sana
Ukiwa na mshahara wa 400k huwezi ku-save kitu. Haya, yaishe sasa! Mmeshinda! 🤛🏾💪🏾🤷🏾♂️
Hili ni wazo zuri. Binafsi NALIUNGA MKONO SIKU ZOTE! Kama kuna kitu ningependa kuona kinabadilika kwenye KATIBA yetu basi ni hicho. Siyo kunyang’anya madaraka ya Rais lakini kuboresha kwa kutanua wigo wa demokrasia kwa wananchi kupitia BUNGE kushiriki zoezi la kupata viongozi na…
@HKigwangalla Mheshimiwa kwanini hizi teuzi zisiwe zinatangazwa watuwaombe. Zipigwe mchujo wapatikane top 3 or 5 rais ndio akachague..?
Anichafue na kunidhalilisha public halafu atake yaishe private?
Angeomba msamaha public, ningemsamehe public.
Wanaume hawapaswi kuomba omba pesa ya kula kwa wanaume wenzao!
Njoo DM
@HKigwangalla Naomba mawasiliano na watu wa Ofisini kwny Nafaka. Nina Ofisi Dodoma-Meliwa ya Mchele (Nafaka)... Nauza Jumla na rejareja
Tatizo watu siyo waaminifu. Huruma ilifilisi duka! Msaada wangu ni kukubali apewe mzigo bila kutoa advance, Auze kwanza kisha alete hela! Watu wa siku hizi siyo waaminifu, usiposhika dhamana yake hutokuta duka wala mtu…atajiongeza asogee mbele! Badala asubiri faida yake ya…
@HKigwangalla Kama anadhamana maelekezo yako yatasaidia nini yeye nataka wewe ndie uwe dhamana mpe mzigo huo sio maelekezo
Usipopata teuzi unapata kingine. Acha dharau kwa kadar za MwenyeziMungu. Nilipopata mimi teuzi kuna wengine hawakupata, pengine leo wamepata. Kila mmoja wetu anapata kwa wakati wake na kwa namna yake.
Una bahati mbaya teuzi zote izo hujapata mpaka roud hii naenda kupata mimi
Sure! Ila Mo alikuwa ana thamini sana utu wangu, sijui alipatwa na nini tu siku hiyo 🤷🏾♂️! Kila mtu alishangaa. Nilipokea simu nyingi sana watu wakishangaa kitendo kile, wengine watu wake wa karibu sana na hata ndugu zake. Na ndiyo maana alifuta ile tweet haraka.
@HKigwangalla Ulipaswa kuisikiliza hii kwanza kabla hujaenda kukopa kwa Mo.
Weka sawa jambo moja kichwani mwako. Sijitetei hapa, na wala sina shida wala sababu ya kujitetea! Nijitetee kwako ili nipate nini sasa? Unikubali wewe? Usijipe mamlaka makubwa usiyonayo. Hapa tuko kibarazani tunapiga soga tu tunapitisha siku! Ugali ukiiva tunaenda kula. Giza…
@HKigwangalla Mbona hata Mjomba Mrisho Mpoto ana namba ya Mh Rais😁😂😂😂😂 kuwa na namba yake Wala sio shida Kabisa na Wala huwezi itumia kama hoja unapojitetea hapa.
Siku zote namsifia Rais, kwangu huo ni uzalendo wa kwanza. Japokuwa haiondoi uwezo na nafasi yangu ya kumshauri na kuomba miradi kwa ajili ya nyumbani kwetu - na huwa naomba na ninapewa. Aidha, haiondoi uwezo na nafasi yangu ya kukosoa na kusimamia serikali. Lakini wakati wote…
@HKigwangalla kazi yako ni kumsifia Rais au ni kijana na kuishauri serikali?
Kwa nini elimu iwe yangu halafu upate mashaka wewe? Kwani wewe si una elimu yako? Si upate mashaka na yako, yangu niachie mwenyewe!
@HKigwangalla Ivi kweli Dr alafu unakuwa chawa kwaajili ya teuzi ili mi linanipa mashaka na elimu yako
Ahsante. I was groomed for this.
Hakuna mwasiasa anaejibu comments Kama @HKigwangalla , anajibu comments zote iwe mbaya au nzuri kwa usahihi 🙌😁
Ntaandika kidogo uzoefu wangu, Pengine ukasaidia watu wawili watatu!
@HKigwangalla Itakua nzuri maana watu tunazo company tunafanya kazi but kupata mikopo hata kidogo tu kwenye banks zetu imekua shida sana
Nikipata teuzi siyo mbaya. Teuzi ni kitu kizuri kwa mwanasiasa anayesaka nafasi ya kushiriki kuongoza nchi. Ushauri wangu kwako na wengine wote: Ukiwa hai usiache kutamani, kujaribu, kuthubutu, kupigania vitu vizuri kwenye maisha. Maisha hayana Maana pasipo kutamani na…
@HKigwangalla Kwani rais hajawai kukosea mbona hatuoni ukimkosoa au unaogopa siku ukimkosoa utavuliwa uanachama maana ni bosi wako kwenye chama pia ni bosi wako kiserikali Mi naona unatafuta teuzi kwa hudi na uvumba kwa mwamvuli wa kusifu lkin huwez kumkosoa wewe
Una kichwa cha kujadili serious issues? Toa mchango wako sasa kwenye Mfumo wa utawala wa timu yetu ya Simba ama Mfumo wa utawala wa nchi, Katiba mpya etc. Ama Njoo tujadili sustainability issues za nchi - mazingira, Ukosefu wa ajira, usalama wa chakula; ama technological…
@Justin_chailah @HKigwangalla Nyingine anaskip anajibu petty issues