şpāřţāčűş @EricSuitbert
forex trader dsm Joined November 2018-
Tweets1K
-
Followers5K
-
Following4K
-
Likes379K
Kuna Websites zaidi ya billion 1.1 duniani ila hizi 10 nina uhakika hujawahi kuziskia mahali Fatilia hii Thread uzijaribu 🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵
Makosa 10 watu wengi hufanya wanapoomba / kufanya maombi. 1. Kuomba kitu ambacho hawako tayari kukibeba. Watu wanaomba pesa, lakini hawana nidhamu ya pesa. Wanaomba mapenzi, lakini hawajajipenda. Maombi haya hayakataliwi, yanaahirishwa hadi pale utakapokuwa tayari. THREAD 🧵
WASAMEHE WAZAZI WAKO. Sio kwa sababu hawakukosea, bali kwa sababu walikuwa wanatoa kile walichokuwa nacho. Wao pia walikuwa watoto waliokua bila kuponywa. Walilelewa na hofu, ukimya, ukali, au kutothaminiwa na wakarithi hiyo kama “kawaida.” THREAD 🧵
Sometimes tunasamehe watu sio kwa sababu wanastahili, sio kwabsabau sisi ni dhaifu, sio kwa sababu walijieleza vizuri au waliomba msamaha kwa wakati sahihi. Tunasamehe kwa sababu tunastahili kuishi kwa amani. THREAD 🧵
Kuna siku utavuka hili jaribu na hizi shida unazopitia sasa, na siku hiyo utanikumbuka. Utakubaliana nami kuwa hakuna kilichokuwa kinatokea kwa bahati mbaya. Kila kitu kilikuwa kinatokea kwa sababu, hata vile vilivyokuumiza zaidi, hata vile ulivyoviita mikosi. THREAD 🧵
SIKILIZA HII KAMA WEWE CANCER, SCORPIO, PISCES Kuna vitu unavihisi ambavyo huwezi kuvielezea. Na mara nyingi unajiuliza, “kwanini mimi nahisi hivi sana?” Lakini ukweli ni kwamba haukuzaliwa kuwa mgumu. Ulizaliwa kuwa deep. Unabeba kumbukumbu kwenye moyo, sio kichwani. THREAD 🧵
Kile ambacho hakikukusudiwa kuwa na wewe, kitakuumiza mara nyingi mpaka uelewe. Kitakukatisha tamaa tena na tena, si kwa sababu wewe hutoshi, bali kwa sababu kinakusukuma uache kushikilia kitu ambacho hakilingani na roho yako tena. THREAD 🧵
Hisia usizozitoa hazifi. Unazizika ukiwa hai, na baada ya muda hurudi zikiwa zimeharibika zaidi. Maumivu usipoyalilia hubadilika kuwa ganzi ya moyo. Vitu ulivyovumilia bila kusema hubadilika kuwa hasira ya kimya. Matarajio yaliyovunjika hugeuka uchungu. THREAD 🧵
Mara nyingi tunaishi kana kwamba maisha ni kitu cha baadaye. Tunavaa mavazi tunayoyapenda mara chache, tunatunza perfumes zetu kwa ajili ya siku maalum, bila kujua, tunakuwa tumeamua kuahirisha uhai wetu wenyewe. Tunajidanganya kuwa bado kuna muda. Thread 🧵
Kama umekuwa ukitamani kutengeneza akaunti yako ya PayPal iliyo verified lakini unashindwa, huu ni uzi bora kwako Hakikisha unasoma mwanzo mpaka mwisho Shuka na thread 👇 PS: Usisahau kurepost kwa watu wengine wapate kujifunza
Kama unatafuta majukwaa ya kufanya kazi ndogo ndogo mtandaoni na kupata $2 mpaka $5 kwa lisaa pitia hapa PS: Unaweza kutumia simu au laptop Repost & Thread 👇
80 animation movies🔥🔥🔥🎬 Which one is missing? 1. Rango 2. Migration 3. Tangled 4. Kung fu panda series 5. Coco 6. Frozen 7. Toy story 8. Zootopia 9. Luca 10. Encanto 11. Ratatouille 12. Puss in boots 13. Teenage mutant ninja turtles 14. Moana 15. Despicable me 16. Cars 17. Shrek 18. Up 19. Smurf 20. Hercules 21. How to train your dragon 22. Prince of egypt 23. Mummy 24. Aladdin 25. Beauty and the beast 26. Cinderella. 27. Sleeping beauty 28. Ice age 29. Madagascar 30. Red beast 31. Turning red 32. Princess and frog 33. Tarzan 34. Minions. 35. Incredibles 36. Raya and the dragon 37. Onward 38. Little marmaid 39. Hotel transylvania 40. Brave 41. The imperors new groove 42. Mulan 43. Enchanted 44. Anastasia 45. Rio 46. Megamind 47. Snow white and seven dwarfs 48. Boss baby 49. Pocahantas 50. The angry birds 51. Corpse bride 52. The secret of pets 53. Peter pan 54. Chicken run 55. Home 56. Turbo 57. The croods 58. Luck 59. Epic 60. Pinocchio 61. Ice age 62. Addams family 63. Mavka the forest song 64. Bad guys 65. Trolls. 66. Wish dragon 67. Vivo 68. The spongebob 69. The last airbender 70. Godzilla 71. Earwig and the witch 72. The booka of life 73. Abominable 74. Nimona 75. Lion king 76. Coraline 77. The monkey king 78. Ruby gillman 79. Back to the outback 80. Klaus
LinkedIn imejaa nafasi za kazi za uongo. Hizi hapa ni Tovuti Rasmi za Serikali za Kupata Fursa katika Umoja wa Ulaya (EU) ⤵️
Dear Men, Mwanamke sahihi anaweza kuwa dira ya mafanikio. — Anakupa utulivu wa akili — Anakupa sababu ya kufanya kazi kwa bidii — Anakusaidia kupanga, kutafakari, na kukaa kwenye mstari — Anakua na wewe, sio dhidi yako Lakini mwanamke asiye sahihi anaweza kukufanya uharibike haraka kuliko adui Yeyote. — Anakuvuruga kifikra — Anakutoa kwenye malengo yako — Anafanya maisha yako yakose mwelekeo — Anakutia hasara ya muda, pesa, na amani Choose Wisely.
Mfalme Daudi alipotumia madaraka yake kuzini na Bethsheba—mke wa raia mnyonge Uria—kiburi cha dhambi kilimchochea kukimbilia kuficha dhambi kuliko kushughulikia matokeo ya hatia yake. Dhambi huja na ‘busara’ zake. Busara hizo zikamwelekeza Mfalme Daudi kuja na mpango wa amani wa kumpa Uria Mhiti ‘ofa ya kurudi nyumbani kwa mapumziko mafupi.’ Daudi alitaka Uria alale na mkewe wakati wa vita. Daudi alitaka maridhiano na uhalifu wake. Daudi alitumia amani na Uria kama mkakati wa siri wa kufunika dhambi. Uria, kwa upande mwingine, hakujua kinachoendelea nyuma ya ofa ya Mfalme. Dhambi ilikuwa imetendeka gizani wakati yeye akifanya kazi ya kizalendo kulipigania taifa lake vitani dhidi ya Waamori. Kwake, Uria, kulala na mke wake wakati nchi iko vitani ilikuwa usaliti mkubwa kwa wapiganaji wenzake. Uria alikuwa anawawaza wanyonge wenzake wanaopambana na Waamori wakati Mfalme Daudi anawaza namna ya kufunika dhambi yake na kulinda heshima ambayo hata yeye mwenyewe anajua hakuwa nayo. Uria aliukataa mpango huo wa amani hewa wakati akijua wazalendo wenzake wanapambana na Muamori. Kukataliwa kwa mkakati huo wa kufunika dhambi kulichochea vibaya mno kiburi cha Mfalme Daudi na kumwingiza kwenye uhalifu mbaya zaidi. Daudi aliagiza Uria awekwe kwenye vikosi vya mbele ili ale jeuri ya uzalendo wake. Kweli mnyonge Uria aliuawa na mfalme akaamini amepoteza ushahidi na angeishi kwa amani na mke wa Uria. Hapo ndipo Nathan, kiongozi wa dini, alipojitokeza na kusimama kwenye nafasi yake kumkemea vikali Mfalme Daudi. Nathan alinyoosha maneno kuwa, “Mungu anaenda kukuvua nguo.” Kilichomuokoa Daudi ni ule moyo wake wakukubali ametenda dhambi, kujuta na kutubu. Daudi hakuendelea na propaganda za kuzimisha sauti ya kiongozi wa dini anayepigania haki ya mnyonge asiye na yeyote wa kumtetea. Tunachojifunza hapa ni kwamba Mungu siku zote huwa upande wa mnyonge. Dhambi dhidi ya mnyonge huwa haiachani na wewe mpaka ukubali aibu ya kuikiri na kuijutia. Mungu akikupenda anakupa nafasi yake pili kwa kukuletea mpaka Nathan akuonye. Ukishupaza shingo ukakwepa aibu ya kukiri dhambi lazima ule matokeo ya dhambi. Kilio cha mnyonge hakiendi bure. [kwa simulizi kamili rejea 2 Samweli 11:1-27; 12:1-23]
Ikiwa una Miaka kati ya 23 Hadi 30 Huu Ndio Ujumbe Wako wa Maisha:🧠✍🏾 Kati ya miaka 23 hadi 30 ni kipindi kigumu kuliko wengi wanavyosema. Ni kipindi ambacho unatambua kuwa hakuna anayekuja kukuokoa. Unaanza kujifunza kwamba maisha hayaji kwa kasi unayoitamani, marafiki unaowategemea wanabadilika, na dunia haikuulizi kama uko tayari—inaendelea tu. Unaanza kuona tofauti kati ya ndoto na uhalisia, kati ya matarajio na matokeo ya kweli. Katika miaka hii, utaona wenzako wakianza kufika walipotamani: wengine wataoa, wengine watanunua magari, wengine watapata kazi nzuri, wengine watasafiri maisha ya kifahari na wengine wataonekana kama wanakufanikiwa haraka. Lakini ukweli ni kwamba kila mtu ana muda wake. Ukijilinganisha sana, utajikuta unajichukia bila sababu. Jifunze kuheshimu safari yako na kusimamia hatua zako mwenyewe bila presha ya maisha ya wengine. Kipindi hiki pia unagundua tabia ya watu. Wale unaowapa moyo wako wote wanaweza kutokuamini kama unavyotarajia; unaweza kupendana sana na mtu, lakini hamuishiani pamoja. Unaweza kuwa rafiki mzuri, lakini ukaachwa bila maelezo. Hapa ndipo unajifunza kuwa mapenzi na urafiki havilazimishwi bali yanatunzwa, hayalazwi. Mafunzo haya yanauma, lakini yanakuandaa kuwa mtu mzima mwenye akili, sio mtu mwenye hasira. Katika miaka hii, heshima ina thamani kuliko sifa. Fedha unazozipata ziwe ndogo au kubwa, jifunze kutengeneza nidhamu Kila siku. Tengeneza tabia ya kuheshimu muda, kufanya kazi kikamilifu, kufuata ahadi zako na kujitenga na uvivu. Hakuna mtu atakayekutora kwenye umasikini ila wewe mwenyewe. Hakuna mtu atakayekupa nidhamu ya mafanikio, ni lazima uijenge mwenyewe. Pia utagundua kuwa afya ni utajiri na akili yenye utulivu ni baraka. • Kunywa maji, • fanya mazoezi, • jifunze kuhifadhi pesa, • soma vitabu, • epuka mambo yanayokuchosha kiakili na kiroho. • Zidi kukua kimya kimya, usiishi kutafuta kuonekana. Watu wa dunia hii wanaheshimu matokeo, sio malalamiko. Hakikisha unajijengea misingi mitatu: 👉🏼kazi, 👉🏼tabia, 👉🏼na imani. Kazi ikupe maisha, tabia ikupe heshima, na imani ikupe tumaini. Usiogope kuanzia chini, usiogope kuchelewa, usiogope kujaribu tena. Kizazi hiki kina presha, lakini usijipe presha ya kupita kasi yako. Miaka 23–30 ni kipindi cha kupanda, sio cha kuvuna. Jenga maisha yako hatua kwa hatua, ukijua kwamba mafanikio ya kweli hujengwa kimya, pole pole, na kwa nidhamu. MWISHO↓ Wakati wako utakuja—cha muhimu, usikate tamaa. Weka mguu mmoja mbele kila siku. Hayo ndiyo maisha halisi. 💪🔥
Unapambana sio kwa ajili ya kushangaza watu, bali kuondoa laana ya umasikini. Na hiyo mission haihitaji shangwe, inahitaji utulivu, maombi, na consistency. Ukiwa kijana unayepambana kwa moyo huo, fahamu — Mungu huwa anasikia kilio chako. Endelea kupambana usiache.
Wafundishe wanao mapema kwamba wanawake hufanya usaliti. Wajue hili si kwa chuki, bali kwa uhalisia wa maisha. Hivyo wakikumbana na usaliti, wasiwe na hasira za kuua, kujiumiza, au kupoteza matumaini. Waelewe kwamba maumivu hupita, lakini maisha lazima yaendelee.✍🏽📌
Usijaribu Kumchunga Mpenz wako mpe ruksa awe huru vile anavyotaka Ili utambue tabia zake kumbuka uaminifu siku Zote haulazimishwi.. #Elewa✍️📌
Mtu Mmoja Aliwahi Kusema Kwamba, The Place Where You Are Is The Place Others Wish To Be — Don’t Take It For Granted Mahali Ulipo Wewe Ndipo Wengine Wanapotamani Kuwa, Usipachukulie Poapoa Kuna Watu Katika Maisha Haya Hautaona Thamani Yao Mpaka Watakapoondoka Na Kwenda Katika Mikono Ya Watu Wengine. Hakikisha Unaitunza Sana Nafasi Uliyopewa, Hakikisha Unamlinda Huyo Mwenzi Uliyenae. Wakati Mwingine Ni Mpaka Atakapoondoka Ndipo Utaweza Kugundua Kuwa "Kumbe Nilikuwa Mwenye Bahati Sana Kuwa Na Huyu Mtu" @isaack_nsumba
Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
324K Followers 4K Following .Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) 2019-2025 Prison graduate 133 days in jail. Human rights defender.
ProsperNow. @prossoff
138K Followers 2K Following A FATHER || ASSERTIVE Bros || CONTENT CREATOR || HARD WORK PAYS.
𝐓𝐨𝐩𝐃𝐚�... @PlutoVibez_
45K Followers 11K Following 💙❤️𝕮𝖚𝖑𝖊 𝖋𝖔𝖗 𝖑𝖎𝖋𝖊 💪 | ⚽️ 𝕱𝖔𝖔𝖙𝖇𝖆𝖑𝖑 𝕿𝖆𝖑𝖐 & 𝕭𝖆𝖓𝖙𝖊𝖗 | 🎧 𝕳𝖎𝖕-𝕳𝖔𝖕🔥
Boniface Chengula @bohny_chengula
119K Followers 7K Following Phones & Electronics in general | iG: Chengula_iPhone.Store | 📍Mwenge ITV | ☎️0752-992667 | Not affiliated with any Brand.
NDEGE TUNDUNI_Jr @NdegeTunduni_jr
27K Followers 10K Following ||social networker||Marketer|| Fan of ||@yangasc1935||@Manutd Creative||Digital marketing||Influencer||Human Being are complica
NgamaGroup @Ngamagroup
34K Followers 8K Following 🎯Materials Service Tanzania. 🎯 Tunauza bidhaa bora za ujenzi kutoka kiwandani china kwa bei nafuu sana 🎯 Tupigie/WhatsApp 0717057552
Kilepi Captain Jr @kilepi_tweve
49K Followers 52K Following #Laiti nyumba zingekuwa Na vinywa zingetoa siri za Wengi. @Bora uanze vibaya ukamalize vyema kuliko kuanza vyema ukamaliza vibaya🤦
Uncle G @Lukala_Ngesse
45K Followers 4K Following A Jack Of All Trades : Join PARIPESA 👉 https://t.co/DaWjre7cev : Promo :MAOKOTO
The ChandO @SadickTusia
57K Followers 10K Following NJOMBE 🇹🇿 : || #Engineer👨🔬 || 🧾HUMBLE😶 || ukiitaji LAPTOP 💻 👉 @chandolaptops || #MkumbusheMwanao || https://t.co/4qv5w2oXtp🦍
Fazo @fazoboya
142K Followers 5K Following
Deo Mwashota @hakunaga6
1K Followers 2K Following Mshuwa &🎶🎶 Hip hop Fan & ⚽️ Simba, Mancherster united Fan
Nancy W @EmineKLAHCIOLU1
9 Followers 792 Following soft thoughts, strong mutual game 💕 follow back always
KIPEPE RUNGU🇹🇿 @DanfordTun96400
4K Followers 8K Following Think. Learn. Grow. 📈 Positive vibes only ✨ Follow 👉 @DanfordTun96400 https://t.co/9eSoZtCEq0
Khamis_D🇹🇿 @TangaBwoy
10K Followers 9K Following kila jambo anasimamia mungu pekee🙏 Chelsea_fan simbascTz #sungusungu_HQ
Motivation Speaker @Wolfman_Tz
41K Followers 8K Following Three solutions to every problem: Accept it, change it or leave it. If you can't accept it, change it. If you can't change it, leave it.
George Bahemu @georgebahemu
3K Followers 8K Following
juma @allyj5452
0 Followers 7 Following
justjay @JuntwaKabeta
147 Followers 2K Following
Ombeni Joseph chikoti @OChikoti67598
12 Followers 49 Following
MKAKA WA NDOTO ZETU �... @GoldenBoyNow
4K Followers 7K Following BORN TO GET RICH AND BLOW PEOPLES MINDS 💥 .
Enock Siasa @EnockSiasa18702
7 Followers 48 Following
Doggy Mix Daily @pawprintsdaily6
28K Followers 26K Following If you enjoy my content, please support me with a like, repost, and follow. Your support means a lot. Thank you all ❤️
Mussa Jm @mussa__jm
6 Followers 70 Following
its _Jordan @laban72085
886 Followers 4K Following Dreaming big, executing smart, Educated, motivated, and God-favored
Amina Hassan @AminaHassa27224
10 Followers 73 Following
Johnson kwai @kwai_johns63704
1 Followers 13 Following
Father holliness @fatherIn88002
9 Followers 69 Following Am ok with a kind of person I am content creator artists website developer multivational speaker.
THUG LIFE🚬💨 @ModdohClassic
3K Followers 3K Following MAN OF THE PEOPLE/Gym Rat/Work Hard Pays/Range Rover In My Blood. #ElimikaMwanaume.
Damian Hilaria @hilaria57266
4 Followers 25 Following
LAST BORN🇹🇿 @Last_born97
32K Followers 6K Following @YoungAfricansSc | @manutd | POLITICAL ANIMAL | DON'T TRUST MY SMILE | A WOUNDED BUFFALO | AM NOT LUCKY, AM BLESSED | I LOVE MYSELF | SELECTIVE SOCIAL #WANAZIHQ
Sarafina @Finah_Business
8K Followers 4K Following Wife👩❤️👨 GRUPU LETU https://t.co/nvODEn31DP IG https://t.co/OrSdqs7hRn 📍 RIVERSIDE KARIBU NA MICASA
Jhamad 1945 @Jhamadi1945
1K Followers 6K Following Mimi Nitakufa Na Wewe Utakufa Na Yeye Pia Atakufa Wote Njia Ni Moja Umuhimu Nikumuomba Allah Atujaalie Mwisho Mwema Inshaallaah
bELINDA🎬 @belindaPINDA01
25K Followers 19K Following 🎬 BELINDA Neon Joker of Cinema Movie lover | Series addict | Brutal reviewer If it’s trending, I’m watching. If it’s fire, you’ll know. 10/10 or nothing 🍿
Alec David @alec_david37346
3 Followers 113 Following
MavisWalpole @01L35M8IdQ9AsBe
117 Followers 4K Following
Nathanael Strosin @NStrosin27825
104 Followers 3K Following
GILBERT USHAKI @GilbertUsh45602
3 Followers 57 Following
Haco Ssallins @ssallins7911
10 Followers 53 Following
Elva Muller @ElvaMuller51462
105 Followers 3K Following
Dandre Collins @DandreColl3454
109 Followers 3K Following
mkorea @Kimurajnr
456 Followers 2K Following Kendrick,Isabella,Rowan 📩 [email protected] BabaNgiDa W.W JnR Let's cook 0267||whatsapp #TALENTED#
JamieWells @Nmw6F71GNxiMv4H
149 Followers 5K Following
Stafya Boy @stafya56026
2 Followers 27 Following
🤲🏾Saved_soul�... @Jahzeel_myles
824 Followers 4K Following Digital consultant & Creative marketing physiotherapist nutritionist & dietitian
Yonazi Moses @MosesYonaz47677
10 Followers 65 Following
Evangelist J solomon ... @j_mkwata22883
3 Followers 89 Following
Hafidhi Ally @HafidhiAll2335
0 Followers 26 Following
Salma Yusuf @yusuf_salm4505
4 Followers 41 Following
Marco Alphonce @marco_alph43151
5 Followers 48 Following
Spana & V.A.R Movemen... @spana_Konki
381K Followers 1K Following Spana Wolfgang Konki| Certified Spanaz & V.A.R 🔧 Spana Headquarters🏢. Spana & V.A.R Compilation. Ni-Tag penye Spana/V.A.R. JUMUIYA YA WAPIGA SPANA
CoCo🍫 @YourFrenchFry
215K Followers 2K Following
Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
324K Followers 4K Following .Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) 2019-2025 Prison graduate 133 days in jail. Human rights defender.
Maviatu 👞👟🥾�... @BarakaMaviatu
152K Followers 1K Following Entrepreneur | Footwear Specialist School, Safety, Official Shoes 🛍️ 👟👞🥾 | Tech & Accessories 💻 |Movies & Film 🎬 https://t.co/D0rNCR5Bxq |
𝗗𝗼𝗿𝗻𝗻�... @dornnie
63K Followers 10K Following | None of us can choose our destiny and none of us can escape it | DESTINY IS ALL |
Joseph Mbilinyi @TheRealJongwe
438K Followers 167 Following Businessman/Legendary African Hiphop Artist/Former Member of Parliament for Mbeya Urban/Central Committee Member - CHADEMA/Zonal Chairman-CHADEMA Nyasa.
ProsperNow. @prossoff
138K Followers 2K Following A FATHER || ASSERTIVE Bros || CONTENT CREATOR || HARD WORK PAYS.
kobiko @iammwanjala
51K Followers 708 Following Everything we hear is an opinion, not a fact. Everything we see is a perspective not the truth. ~ Aurelius. Visit Mbeya Tanzania 🇹🇿
𝐓𝐨𝐩𝐃𝐚�... @PlutoVibez_
45K Followers 11K Following 💙❤️𝕮𝖚𝖑𝖊 𝖋𝖔𝖗 𝖑𝖎𝖋𝖊 💪 | ⚽️ 𝕱𝖔𝖔𝖙𝖇𝖆𝖑𝖑 𝕿𝖆𝖑𝖐 & 𝕭𝖆𝖓𝖙𝖊𝖗 | 🎧 𝕳𝖎𝖕-𝕳𝖔𝖕🔥
Boniface Chengula @bohny_chengula
119K Followers 7K Following Phones & Electronics in general | iG: Chengula_iPhone.Store | 📍Mwenge ITV | ☎️0752-992667 | Not affiliated with any Brand.
NDEGE TUNDUNI_Jr @NdegeTunduni_jr
27K Followers 10K Following ||social networker||Marketer|| Fan of ||@yangasc1935||@Manutd Creative||Digital marketing||Influencer||Human Being are complica
Kilepi Captain Jr @kilepi_tweve
49K Followers 52K Following #Laiti nyumba zingekuwa Na vinywa zingetoa siri za Wengi. @Bora uanze vibaya ukamalize vyema kuliko kuanza vyema ukamaliza vibaya🤦
𝕺𝖇 💊 @Obofficial3
102K Followers 4K Following | 𝕺𝖇 | 𝙢𝙖𝙣 𝙤𝙛 𝙝𝙚𝙖𝙡𝙩𝙝 💉💊🔬 | 𝐅𝐈𝐅𝐀 🎮 | 𝐌𝐁𝐄𝐘𝐀_𝐁𝐎𝐘 | #hekimazaob | Joker | Man u 🛑 & Simba 🦁 fan | The owner of @DakaMoviesStore
The ChandO @SadickTusia
57K Followers 10K Following NJOMBE 🇹🇿 : || #Engineer👨🔬 || 🧾HUMBLE😶 || ukiitaji LAPTOP 💻 👉 @chandolaptops || #MkumbusheMwanao || https://t.co/4qv5w2oXtp🦍
Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ @Nindi_Jr
47K Followers 18 Following Nachambua Muvi & Series Kwa Utashi Wangu,✍🏽 Maandishi Yangu Ni Cinema | Founder @NindiJrTV
Fazo @fazoboya
142K Followers 5K Following
Tito Magoti @TitoMagoti
285K Followers 11K Following Activist-at-Large. Advocate. PG. Tundu Lissu’s Protégé.
CINEMAS ANALYTIC 🎬 @CinemasAnalytic
11K Followers 49 Following Your Daily Movie & Series Posters 🎬 Helping You Find your next dramas to watch 🍿🍿🍿Turn on Notifications 🔔🔔
Doggy Mix Daily @pawprintsdaily6
28K Followers 26K Following If you enjoy my content, please support me with a like, repost, and follow. Your support means a lot. Thank you all ❤️
Sarafina @Finah_Business
8K Followers 4K Following Wife👩❤️👨 GRUPU LETU https://t.co/nvODEn31DP IG https://t.co/OrSdqs7hRn 📍 RIVERSIDE KARIBU NA MICASA
Insane Vids @Insanevidz_
394K Followers 81 Following Viral Insanity Sorcerer | https://t.co/pT2bEYN4pB
Eng.Benjamin @nyalut23
7K Followers 5K Following Irrigation and Water resource Engineer/House plan designer/Workplace health safety and environment expert. /Man United, Simba and RM fan😍/owner@kidimilo_23
Eng. Hersi Said @Caamil8
178K Followers 120 Following President @YoungAfricansSC | ACA CHAIRMAN | CAF EXCO | Director of Investment GSM Group
Ajira times @ajiratimes
9K Followers 328 Following Get ready to land your dream job! Ajira times is your go-to source for the latest career advice, and incredible job openings. Let's find your perfect fit!🚀
NGURUMO CONSTRUCTION @Ngurumo_Tz
2K Followers 32 Following We deal with:- 👷🏾Architecture drawings 👷🏾Cost/Materials estimations 👷🏾Constructors (Wajenzi) 👷🏾 🇹🇿☎️WhatsApp +255621945646
out of context clips ... @savageclipss
869K Followers 80 Following X needs more positivity.. 😊 Cutest & Hilarious video on the internet !
Nature is Amazing ☘... @AMAZlNGNATURE
6.4M Followers 54 Following Animals 🐿️ Nature 🦋 Discovery 🦖 📧 submit clips & inquiries to [email protected]
GeoTraverse_Biulders. @GeoConstructors
522 Followers 340 Following We design and biuld at affordable cost. +255719336667, WhatsApp +255763782274 Dodoma, Tanzania @geo_traverse
Boston Legacy 👑 @chronicle_tips
8K Followers 138 Following Sports Analysis | Predictions | VIP Community Building Winners Worldwide 🌍
Enki's Football Stats @enki_stats
78K Followers 21 Following Install our FREE Mobile App for 'Daily Tips', 'VIP Group' and 'Correct Scores'. Link is below ↙️
PitchSide Football Ti... @PitchSideTip
80K Followers 7 Following Football Stats Expert & Tipster | Freelancer work available 📝 | 18+ GambleAware @Duelbits partner
Alfred Mndeme @AlfredMndeme001
3K Followers 4K Following Gut Health Expert & Natural Wellness Advisor | Helping People Heal Their Digestive System | Acid reflux | Constipation | Hemorrhoids | throat issues&Bloating
CAF @CAF_Online
2.9M Followers 242 Following Confederation of African Football (CAF) | FR: @caf_online_FR | AR: @caf_online_AR | PT: @caf_online_PT | @CAFwomen
Charles Chelsea Jr @CharlesChelsea_
29K Followers 8K Following 💙Chelsea & Yanga Sc💚#TutajirikeWote Gusa LINK hapo chini Itakupeleka kwenye TELEGRAM CHANNEL yetu tupige hela za Kanji
Safari Gateway Ltd @SafariGateway_
11K Followers 254 Following DMC | Sustainable Tanzania & Zanzibar Holidays | Serengeti, Stone Town, Best Beaches | Tailored Adventures | Honeymoon
NETNAIJA @NetNaija_
184K Followers 928 Following Daily 📺 Movie Insights|| Engaging 📺 Discussions 🍿|| Follow ☝️for More ||Ads & Promo || (PARODY)
Master Drilling Group @MDrillingGroup
430 Followers 100 Following We are a global technology solutions company, delivering a fully mechanised range of services to the mining, energy, civil and construction sectors.
Mee_mee @mee_mee_12
750 Followers 707 Following
Doha Mushi @doha_mushi
8 Followers 59 Following
mumbere Tsongo @mumbereTsongo6
8 Followers 103 Following
Shomy love @RazakShomi
10 Followers 190 Following
Cuteasha yusuph Iddi @CuteashaI
28 Followers 213 Following
cotton isac @CottonIsac
34 Followers 102 Following
Zainabu Salum @ZainabuSalum8
34 Followers 162 Following
malima __ mp @machumu_malima
9 Followers 67 Following
Josephath Charles @JosephathC3
5 Followers 37 Following
sauda mohamed @saudamohamed9
49 Followers 229 Following
Eat Healthy is Good @Lowcarbjiji
20K Followers 12K Following Craving flavor on #keto? 🥓➡️🥑 Join our Keto & #LowCarb community — cooking made simple, tasty, and sustainable. Tap the link to get your #cookbook instantly.
Deus Edward @DeusEdward7
10 Followers 276 Following
Elisha Molely @ElishaMolely
18 Followers 81 Following
Subira Yango @SubiraYango
1 Followers 17 Following
Charz ngule @CharzNgule
21 Followers 115 Following
UMOJA WA HAKI ZA MADE... @munyamambogo
18K Followers 16K Following
Dominick Brighton @DominickBright6
13 Followers 70 Following
































