Diaspora Of Tanzanians In Guangdong @ditag_
Kurasa Rasmi Ya Twitter Maalum Kwa Diaspora Ya Watanzania 🇹🇿 Waishio Guangdong 🇨🇳 Joined July 2022-
Tweets27
-
Followers150
-
Following8
-
Likes35
Jumuiya ya wa tanzania waishio Guangdong china ina watakia sikukuu njema Za Christmas na mwaka mpya .
🇹🇿 🇨🇳
China-Tanzania relations have been enriched by exchange of visits of National Leaders since 1960's begining with the visit of by the founding President of Tanzania Mwaliku Julius Kambarage Nyerere @ChenMingjian_CN @ChineseEmbTZ @HabariLeo @PDChina @cgtnafrica @dailynewstz
Bendera za Tanzania na China zikipepea katika eneo Tiananmen Square jijini Beijing kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe @SuluhuSamia nchini China inayoanza leo
Habari njema kwa Watanzania wenye kuhitaji kwenda Hong Kong kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii. Sasa hawahitajiki kufanya karantini. Hatua hii pia itasaidia kupunguza gharama za wanaosafiri kwenda Mainland China kupitia Hong Kong chinadaily.com.cn/a/202209/24/WS…
Tanzania Royal Tour film has been posted on Weibo account of CYTS- China's No 1 Travel Agency Group m.weibo.cn/status/4809644…
Kipindi Maalum cha Elimu kwa Umma kuhusu upatikanaji wa Teknolojia za Uzalishaji kwa gharama Nafuu kitarushwa kesho tarehe 1 Sept 2022 kupitia Mitandao ya Kijamii ya Ofisi ya Konseli Kuu ya Tanzania jijini Guangzhou @TZconsulate_GZ China na Ubalozi wa Tanzania China @TZEmbassyCN
Mkutano wa Kamati ya Ushirikiano wa Uchumi na Biashara kati ya China na Tanzania umefanyika leo kwa njia ya mtandao. Mkutano huo umefunguliwa na Waziri wa Fedha Mhe @mwigulunchemba1 na Naibu Waziri wa Biashara wa China Mhe Dk.Qiang Keming @ViwandaBiashara @mfa_tanzania
Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yamefanyika leo jijini Wehai katika Jimbo la Shandong. Bidhaa za Tanzania ikiwemo kahawa, mvinyo na korosho zimeoneshwa katika maonesho hayo na Kampuni ya @LinghangLisa
Konseli Mkuu wa Tanzania mjini Guangzhou Bw. Khatibu Makenga amekutana na Bw. Jiang Xhenqin, Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje katika Jimbo la Guangdong na kuzungumza masuala ushirikiano na uwekezaji.
Happening Now: Ambassador @MbelwaK delivering a keynote address at the 2022 China Africa Youth Forum in Beijing
Kesho tarehe 30 Julai Filamu ya Tanzania Royal Tour itaoneshwa katika Televisheni nchini China kwa mara ya kwanza kupitia Kituo cha Hainan TV.Filamu hiyo ilishaoneshwa kwa njia ya mtandao wa Bilibili mapema mwezi huu.Watazamani milioni 7.5 wanatarajiwa kutizama filamu hiyo
@TZconsulate_GZ 👏🏼👏🏼👏🏼
Mabalozi wa nchi za Afrika nchini China wamehudhuria mkutano wa kukuza ushirikiano wa uchumi na biashara kati ya China na Afrika uliofanyika jijini Changsha katika Jimbo la Hunan. Mkutano huo umefunguliwa na Naibu Gavana wa Jimbo la Hunan Mhe.Li Dianxun
Balozi @MbelwaK ahutubia kwa niaba ya Mabalozi wa Nchi za Afrika katika mkutano wa kukuza ushirikiano wa uchumi na biashara kati ya China na Afrika uliofanyika leo jijini Changsha katika Jimbo la Hunan @mfa_tanzania @WuPeng_MFAChina @TToga9 @RwandaInChina @EKaiyamo @millardayo
Jana katika ukurasa wa twitter wa Ubalozi limetoka tangazo la kuwataka wanafunzi wanaosoma China kujiandikisha. Wapo wanafunzi ambao walitaka uthibitisho kama tangazo hilo ni kweli limetolewa na Ubalozi. Ninathibitisha kuwa ni kweli tangazo hilo limetoka Ubalozi wa TZ China
Watanzania wanaosoma katika Vyuo Vikuu vya China ambao hivi sasa wapo Tanzania wakiendelea na masomo yao kwa njia ya mtandao- wanaombwa kutuma majina yao na vyuo wanavyosoma na kozi wanazosoma kwa barua pepe: [email protected] na kwa njia ya whatsup katika namba +255652394166
Watanzania wanaosoma katika Vyuo Vikuu vya China ambao hivi sasa wapo Tanzania wakiendelea na masomo yao kwa njia ya mtandao- wanaombwa kutuma majina yao na vyuo wanavyosoma na kozi wanazosoma kwa barua pepe: [email protected] na kwa njia ya whatsup katika namba +255652394166
MAJIBU YA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA DIASPORA YA WATANZANIA GUANGNDONG CHINA Uliofanyika Siku ya Tarehe 19/06/2022. Uchaguzi uliosimamiwa na Mlezi wa Jumuiya ambae ni KONSELI Mkuu wa Tanzania Guangzhou. Hawa ndio viongozi wetu 👇🏽 Cc: @TZEmbassyCN @MbelwaK @TZconsulate_GZ
Leo tarehe 21 Julai 2022, Jumuiya ya Watanzania waishio Guangzhou @ditag_ tunashiriki katika maonesho ya Guangzhou Food Expo ambayo yatadumu kwa siku 3 hadi tarehe 23 Julai 2022. Bidhaa zinazooneshwa katika Banda la Tanzania ni kahawa, korosho, chai, maharage ya soya, samaki n.k
Philemon Freeman Chin... @EvdrPhilemon
835 Followers 7K Following •|I'm sound,strong and getting better by the day because the Word of God is working mightily in me||°
فاطنة سعيد @fatna_saeed
126 Followers 398 Following Engineering student at china university of geoscience
Gkitwika @Gkitwika25
9 Followers 163 Following
Yohana Sima @SimaYohana81892
1 Followers 83 Following
Hamadi Mrisho @MrishoHama79740
0 Followers 56 Following
Osokonoi Investment L... @OsokonoiRealEst
1 Followers 18 Following 🏡 A licensed Real Estate Agent&Developer| Estate Manager 🔑 Buy • Sell • Rent (Residential & Commercial) Call: 0741225154
Name Waname @NameWaname
26 Followers 711 Following
Paul Lukoo @Pkhan_boy28
1 Followers 9 Following
MALIMI GHALI @GhaliMalim95318
4 Followers 86 Following
Omary Mushi @mushi_omar81240
4 Followers 286 Following
k.march @IddyKayanda
22 Followers 239 Following
Enihard Emanuel @enihard49768
1 Followers 123 Following
DonNims @Nims1493153
775 Followers 8K Following AI crypto-currecy trader, Networking, crypto Investor. $BTC, $XRP, $WLFI, MAGA. https://t.co/ioAwQ9w63T
Kilimanjaro Star Carg... @klmstarcargo
792 Followers 2K Following
Kalanda @Kalanda12
15 Followers 80 Following
Dr issa's scientist c... @IsmailPaul63316
3 Followers 89 Following
Nellie 88 @88_nellie
0 Followers 18 Following
Navita Ali @naaaali6
22 Followers 705 Following
christopher @siwetu
1 Followers 30 Following
yasini muyao 🇹🇿... @ausi_yd
34 Followers 708 Following
Gerald Shuma @GeraldShum76
177 Followers 2K Following Data analyst, Intelligence Analyst, Remote Sensing , Artificial intelligence Architect
Festo Nghambi @festonghambi4
13 Followers 303 Following
Yunusu H mbwambo @h_yunusu10775
23 Followers 381 Following
Catherine Kibasa @c_kibasa
0 Followers 5 Following
Jovani wisso @WissoJovan64989
8 Followers 139 Following
Thee Ronoh @Itsronoh27
356 Followers 2K Following
DrMo @DrMo_04
13 Followers 369 Following Microbiology specialist, department of Microbiology. ObGyn Expert, department of Obstetrics and Gynecology
Wizy Chibwi @WChibwi67315
17 Followers 251 Following
Ally @Ally52465368
8 Followers 149 Following
julius @julius56158
0 Followers 122 Following
Watson Rabiel @WRabiel86906
11 Followers 86 Following
Wamburageorge @Wamburageorge1
37 Followers 707 Following
Little meat balls @haerulanam93
144 Followers 2K Following I like fitness, keep fit, and make different friends
Jiongeze @JiongezePod
0 Followers 22 Following Jiongeze Podcast is dedicated to curating a space where the power of storytelling is the focus to connecting guests and audiences on a deeply human level.
Billu Brown @BilluBrown1
96 Followers 1K Following salesman/influencer /travel / whole forex💴💵💰 /auto electrical engineer 🚘|
Kilimanjaro Star Carg... @klmstarcargo
792 Followers 2K Following
Samia Suluhu @SuluhuSamia
1.8M Followers 29 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania
Tanzania Consulate Ge... @TZCGGuangzhou
4K Followers 2K Following Tanzania Consulate General in Guangzhou, China.
Ikulu | Zanzibar @ikuluzanzibar
53K Followers 3 Following Official tweets from the Office of the President and Chairman of the Revolutionary Council of #Zanzibar.
ikulu_Tanzania @ikulumawasliano
554K Followers 6 Following Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania 🇹🇿
Tanzania Embassy | Ch... @UbaloziChina
27K Followers 572 Following The official account of The Embassy of Tanzania to China.











